Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Imani za ushirikina zajitokeza
Wakati Rais Kikwete akiingia uwanjani hapo, kulijitokeza dalili za uwepo wa vitu vilivyoashiria nguvu za ushirikina, jambo lililoonekana kuwashtua wasaidizi wake wa Usalama wa Taifa.Wasaidizi wake waliona chupa mbili zilizokuwa zimejazwa vitu vilivyodaiwa kuwa ni dawa za kishirikina, kisha mmoja wao akaipiga teke chupa moja.Chupa hizo mbili za maji zenye ujazo wa lita moja na nusu, ziliwekwa upande wa kulia na kushoto wa zulia alilotandikiwa Rais kupita kwenda kwenda meza kuu.
|
| |
|