Majeruhi wa ajali ya Regia afariki dunia

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Mama Paulina Myovela alijeruhiwa katika ajali iliyomuua Regia Mtema amefariki dunia Muhimbili,
baada ya kukosa huduma kutokana na mgomo wa madaktari.Na mpaka sasa ndugu wapo Muhimbili
toka asubuhi wakitaka kuchukua mwili wa marehemu wamekwama kupata mwili wa mpendwa wao
kutokana na mgomo wa madaktari.
 
mmmmh sijui tunaelekea wapi sasa....!
Tunamuomba MUNGU atuepushe na magonjwa
 
Nahisi Regia (rip) aliona hilo la mgomo wa Madaktari mapema sana, ndiyo maana aliamua kwenda zake moja kwa moja!....asingevumilia kuona hii maneno!
Nakusifu regia kwa uamuzi ule!...RIP dear!

Pole nyingi kwa marehemu huyu!...umetutonesha kidonda kilichoanza kupona!
 
Cha kushangaza hamna hata ndugu au mwanafamilia wa hawa viongozi wetu aliyekufa au kutaabika na huu mgomo!
 
Back
Top Bottom