Mpangaji NHC afyatua risasi kuzuia kuhamishwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpangaji NHC afyatua risasi kuzuia kuhamishwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Feb 7, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mpangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mzee Kibore, anayeishi mtaa wa Agrey, amegoma kuhamishwa katika nyumba ya shirika hilo, na kufyatua risasi mbili hewani ili kuwatimua wadai hao.
  Ujumbe wa wahamishaji hao uliomba msaada wa polisi, nao wakaja na kumkamata mpangaji huyo mkorofi.
  Kwa sasa yupo chini ya ulinzi kituo cha polisi M/Mmoja.
  Source: Channel Ten HABARI
   
 2. l

  le comparable Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah nimeona bhana yule mzee sijui anajiamin nini yan ni jeuri iliyopitiliza:A S embarassed:
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  sema jamaa nao wamezidi. Ndo mambo gani kuhamishana kwa nguvu...
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  siyo jeuri si anaona wengine wanavokula bila bughudha sasa anajiuliza kwanini yeye asumbuliwe?? Mfano mzee six kakatalia nyumba ya spika, magufuli na wenzake wameuza nyumba za serikali bureeeeee. mifano michache tu hiyo.
   
 5. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Safi mzee,
   
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Manina walahi kajinunulia kesi huyo ... Watamfunga
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kama wewe siyo mstaarabu shurti uhamishwe kwa nguvu. Kama wewe ni muungwana lazima uzingatie masharti ya mkataba.
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pesa yenyewe milion 1.4. Amakweli nhc kodi pesa ndogo
   
 9. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ni wajibu wa mpangaji kulipa kodi kwa mujibu wa mkataba wake na mwenye nyumba. Ambacho sijakijua, hivi NHC ndiyo huyo mpangaji pekee anayedaiwa? Sitaki kuamini zoezi la kuandaa waandishi na bahasha zao just kumfukuza mwenye deni la 1.5m. Si ajabu hata zoezi zima lina mkono wa mpangaji mpya.
   
 10. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Maskin jirani yangu wa zamani Kigoma! Macho Kibore alikuwa tajiri mkubwa Kigoma! Ana asili ya Kongo lakini ni MTZ. Mwaka 2008 aliuza bungalow lake la ghorofa moja pale Kigoma mjini kwa karibu m100! Naona jirani kaanza kufirisika! All in all ana kiburi sana cha pesa BUT sasa amepatikani na bonge la kesi ya Jinai
   
Loading...