Madhara ya umeme mkubwa-Tanesco

great vision

Senior Member
Jul 1, 2011
113
67
leo jioni hii nilikuwa ninaangalia TBC1, wataalamu wa Tanesco, walikuwa wanaelimisha wananchi juu ya madhara ya kujenga au kufanya shughuli zozote chini ya nyaya za umeme mkubwa, sasa iweje wakakubali umeme upite katika kanisa la Kakobe? au ni hujuma?
 
Pale unapita ili kuondoa majini yaliyowekwa na kakobe pale kanisani kwake
 
Pale unapita ili kuondoa majini yaliyowekwa na kakobe pale kanisani kwake


Haa! Mbona umemsahau yule mkuu anayelindwa na majini? Kama ni hivyo, umeme mkubwa ungepitishwa pia kwenye nyumba yake Mago**ni, ili kuyafukuza majini yanayomlinda!
 
Haa! Mbona umemsahau yule mkuu anayelindwa na majini? Kama ni hivyo, umeme mkubwa ungepitishwa pia kwenye nyumba yake Mago**ni, ili kuyafukuza majini yanayomlinda!

majini ya magogoni yalikimbilia baharini toka mwaka jana ndo maana siku hizi atuanguki tena
 
Matokeo yake ulimuondoa jini na pepo Sheikh Yahya...****** kabakisha jini la kusafiri ulaya na ngono(babu seya trick)...unalolote zaid wewe pepo?endlelea kucoment mapepo yako hapa.
 
Na vipi kwenye nguzo za gridi?manake wakata nyaya wanaenda na testa pale, wakion ahaiwaki wanajua kuna mgao, wanachukua praiz na kukata nyaya..badae mnawaona kwenye magazeti wamenasa.
 
majini ya magogoni yalikimbilia baharini toka mwaka jana ndo maana siku hizi atuanguki tena


Majini bado yako kibao, wala hayajaenda baharini! Unafikiri majini lazima yamuangushe mtu jukwaani tu? Huoni majini yalivyomwangusha, kwa ahadi zake za ki-Abunuwasi, za meli kubwa kila ziwa, viwanja vya ndege vya kimataifa kila kona, Kigoma kuwa Dubai n.k?

Hujasikia majini yalivyomwangusha baada ya Davos, pale Mwingereza Richard Brunwick alipoueleza ulimwengu kwamba,"He is one of the most pathetic African leaders of our times", na akaungwa mkono na wazungu kibao!

Majini yamemwangusha tena kwenye mgomo wa madaktari unaoendelea. Mpaka sasa yuko hoi, hana kauli yoyote! Yamemwangusha pia pale alipowapa posho wabunge, halafu baada ya kupima joto, akawageuka mtoto wa mkulima, na mama wa Njombe, na kutaka kujichomoa. Matokeo yake, mama wa Njombe amemnunia, na Wabunge wa magamba wamepanga kumfanyia "kitu mbaya"!

Nasema hivi, kama solution ya kutoa "majini kwa Kakobe", ilikuwa ni kupitisha umeme mkubwa pale, basi solution hiyohiyo, itumike kwenye nyumba ya mkuu wa magamba, aliyezingirwa na majini, kila kona!
 
Back
Top Bottom