Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hii ni baada ya kutaka kuhamishwa kwa nguvu.mpangaji huyo alifyatua risasi hewani ili kuwafukuza jamaa wa auction mart ambao mara nyingi hutoa vitu nje na kutia makufuli.kweli tunaelekea pabaya...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia lowasa kafanya mambo makubwa ila hayatajwi, naomba basi mwenye kuyajua atutajia 1.utasikia shule za kata- 2.alivunja mkataba wa city water 3.Njia tatu haya ni juzi akiwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Muhimbili yafungwa *Huduma zote zasitishwa hadi kitakapoeleweka *Tamko la serikali lasubiriwa kuokoa jahazi *Wizara yahaa kutafuta madaktari wa ziada Na Waandishi Wetu Vitanda vya wagonjwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi kweli hawa viongozi wetu wanaangalia taarifa za habari kwenye luninga..? na kama wanaangalia wanajicikiaje wanapoona wagonjwa wakizidiwa na kufikia wengine kufariki..? wanajacikiaje pale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa watu tuliozaliwa karibu na mipaka ya nchi tulikuwa na nafasi kubwa ya kuhamia nchi za jirani kama vile kenya na uganda. Leo nimegundua bora ningeukana utz mapema kuliko kuongozwa na huyu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Yamenikuta ndugu zangu!! Sina jinsi ya kuelezea nilivyopambana pale Muhimbili kuokoa roho ya anti wangu mlezi...nimepigana!!nimeshindwa...hali ni mbaya vilio vimetawala kila kona toka kwa...
2 Reactions
93 Replies
6K Views
BAADHI YA SKENDO ZILIZOTOKEA NDANI YA NCHI YETU NA SIDHANI KUNA MTANZANIA ANAWEZA KUSEMA AMEPEWA AU ANAJUA TAARIFA KAMILI YA JINSI HALI HALISI YA YOTE HAYA KUANZIA HATUA ZA WAHUSIKA KWENYE YOTE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wenyeji wa Bagamoyo wanadai ni ya Mkulu japo katika makaratasi mmiliki ni mwingine. Kwa nyuma ni moja kati ya majengo ya kale ya kihistoria ambayo inasemekana ilikuwa ni Posta. Hongera sana...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Nchi tajiri na za ulimwengu wa kwanza zinjiandaa kuondokana nayo, watu wa mazingira ni miongoni mwa wanaharakati wanaoipinga vikali nishati hii pamoja na ukweli kwamba umeme ukizalishwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utafiti umeonyesha kuwa karibu 40% ya wanaume waliokwenda kupima Muhimbili wamegundulika kuwa wagumba. Je itakuwaje iwapo daktari atakwambia kuwa wewe huwezi kushikisha mimba wakati mke...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakimpigia tu kura ya kutokuwa na imani nae anahamia CHADEMA. sasa hivi mwana Ccm yeyote anafanya chochote na wakimtisha kmfukuza aseme atahamia CHADEMA, baaasi wanafyata mkia.Mkuu wao kakubali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Raisi Kikwete amekuwa akisumbuliwa sana siku za karibuni na watu kumtaka aachie ngazi hilo haliwezekani na haliruhusiwi sababu 1.Yeye kachaguliwa na watanzania wote si chama fulani tu.Hivyo chama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu kwa unyenyekevu naomba mwenye data anipe kwa faida ya wasiojua ukweli kuhusu Madaktari waliogoma wanataka nini hasa mpaka serikali imeshindwa kutekeleza madai yao,KUNA JAMBO KUMBWA HAPA SI...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mchungaji Lusekelo awaponda Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lililopo Kibangu jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako amewafananisha na wauaji wa albino...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
rafiki yangu ni geologist pale buzwagi,kaniambia inapokuwepo dhahabu kuna na silver tena kwa ratio ya 3:1 yaani kila dhahabu moja kuna silver tatu au zaidi,mkataba walioingia wazungu na serikali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kesho maandamano kuanza saa tatu asubuhi mbele ya kituo cha sheria na haki za binadamu kilichopo kijitonyama, nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii. tafadhali kabla maafa ya hayajakuwa makubwa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Ivi hawa TBC kukata matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni ni kutukatia ili wananchi tusiskie ripoti ya kamati kuchunguza madai ya madaktari au ni vipi? Toka Tido kaondoka TBC imekua magamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
leo ni siku ambayo vijana wetu wa form six wameanza mitihani. nashangaa hakuna chombo cha habari kilichotangaza habari hii kuanzia RADIO, TV NA MAGAZETI. kulikoni mbona wa darasa la nne la saba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mpendwa mteja, Vodacom haihusiki na ujumbe unaokutaka upige simu upate ujumbe muhimu. Tafadhali usipige simu kama una mashaka na chanzo cha ujumbe. Wakuu nimepokea sasa huu ujumbe toka Vodacom
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello jf, Leo mitihani ya kidato cha sita imeanza,imefanyika au laa,na wale wanafunzi wa ndanda wanafanya mitihani kama kawaida au laa? Nipo sehemu ngumu kidogo kwa redio kushika.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…