wanyarwanda waliuana mamia kwa maelfu -- tukawacheka sababu tuna amani na utulivu
Wakenya wakatwangana vibaya mno - tukawacheka sababu tuna amani na utulivu
Leo hii wanyarwanda na hata jirani zetu wakenya wapo wapi?
Sasa vuneni amani yenu na utulivu wetu mliokuwa mnajidai nao kwenye mataifa ----- na hizi ndogo tu ni rasharasha tu zile za masika zaja -- watu mpaka mle PUMBA kama kuku maana unga kilo itafikia hadi 2500.
Poleni sana watanzania wangu ila kufa lazima mfe tu mpaka vikao wa wakubwa zenu viishe kule dodoma.