Soma hii list kisha tafakari..tanzania yetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma hii list kisha tafakari..tanzania yetu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by supermario, Feb 8, 2012.

 1. s

  supermario Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BAADHI YA SKENDO ZILIZOTOKEA NDANI YA NCHI YETU NA SIDHANI KUNA MTANZANIA ANAWEZA KUSEMA AMEPEWA AU ANAJUA TAARIFA KAMILI YA JINSI HALI HALISI YA YOTE HAYA KUANZIA HATUA ZA WAHUSIKA KWENYE YOTE HAYA KUCHUKULIWA..KAMA NIMEKOSEA NIREKEBISHENI NA KAMA NIMESAHAU ONGEZA LIST.
  SKENDO.
  1. EPA USD 116 Mil
  2.RADA BP 28Mil
  3.RICHMOND 150Mil
  4.IPTL USD 54Mil
  5.PAN AFRICAN USD 20Mil
  6.DOWANS
  7.KIWIRA MINE
  8.UDA
  9.
  10.
  11.
  LIST NI NDEFU SAAANA NAJUA KUNA WENGINE WANAJUA MENGI...
  SASA MIGOMO..MADAKTARI
  MAAFA YA MAFURIKO
  KESI YA JAIRO
  MABOMU YA MBAGALA NA GONGO LA MBOTO
  WALIMU
  UMEME
  MAJI
  BARABARA
  MAPOSHO YA WABUNGE
  MATUMIZI MABAYA YA OFISI ZA UMMA

  KUNA HADI LEO MTU KASEMA KITU KUHUSU YOTE HAYO? AMEJIUZULU? KAWA ACCOUNTED FOR?WHERE IS OUR COUNTRY HEADING TO? KAMA VITU VINAPITA KIMYA KIMYA TUU...LEO HILI KESHO LILE MARA HUYU MARA YULE.ENOUGH IS ENOUGH.. THIS IS OUR COUNTRY! TOO MUCH CRAP IS GOING ON TENA MBELE YA MACHO YETU AND NOTHING IS BEING DONE!
   
 2. New2JF

  New2JF Senior Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio Tanzania kijana.
   
 3. s

  supermario Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo tupotezee tuu au sio? Itakuwa fresh mwisho wake ama?
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kitumbua kikiingia mchanga kinapulizwa then kinaliwa hakitupwi ng'ooooooo
   
Loading...