Ukifika dodoma kama unahitaji kujenga kuna hawa jamaaa wanaitwa mamlaka ya ustawishaji makao makuu dodoma,hapa kupata kiwanja ni issue,kupata kibali cha ujenzi ndio mmh balaaaaaaaaaaa,hati sasa...
Mitaa Ya Mji-Mwema Sokoni Ilioko Leganga, Usa-River Katika Wilaya Ya Arumeru Mashariki Kumetokea Ajali.
Mnara Wa Kampuni Ya Simu Za Mkononi Umeanguka Na Kusababisha Moto Mkubwa Unaondelea...
Nakupongeza Chief, kwa kuwa kiongozi wa nchi hii iliyokaliwa na wanadamu hawa wasiojua wamekosa nini na wasio na udhubutu wakujua wanataka nini!
Hongera kwa kuwa baba wa mfano unaowakilisha...
Mie nimemuona leo,
ni dogo aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili kwa maradhi ya moyo, umri wake ni kama miaka 10 hivi.
Amenivutia kwa rai yake kwa serikali, ameitaka isilete masihara katika sekta...
nashukuru bunge na serikali angalau kwa dakika za mwisho wameonesha kujali maisha wa watanzania wanaoendelea kufa kwa kukosa matibabu.
hatimaye waziri mkuu kuamua kuwapiga chini katibu mkuu na...
UPDATES
Habari nilizopata muda mfupi uliopita toka kwa mshikaji mmoja aliyekuwa anafanya kazi na wale Waarabu pale Loliondo,
Zinasema ya kwamba washikaji kambini baada ya habari hii kuwafikia...
Wale loan defaulters wa HESLB ambao walikula kiapo kwamba hawatalipa kwa kuwa pesa walizopewa ni ruzuku sasa wajiandae kulipa!HESLB imeteua mawakala ambao wanapita katika kila taasisi kuwapa...
Kutoka Yahoofriends
Haya ni matokeo ya Tiba ya Babu Ambi
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile Babu Ambi (pichani), anaendelea kusakamwa...
POLENI WAFIWA WOTE DADA ETU ALIECHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUMPELEKA INDIA NAWE MUNGU AKUPE NGUVU NA NDUGU WOTE WALIOKUWA BEGA KWA BEGA WAKATI WA UHAI WAKE KWUEZA KUMSAIDIA AENDELEE KUISHI
KAZI...
Imenichuwa takriban miaka minne kuweza kupata kiini cha RICHIMOND na kujiuzulu kwa Lowassa, katika wadhifa wa waziri mkuu.Hawa waheshimiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, uliomweka...
Unajua nchi inaweza ikawa inateseka kumbe kuna mtu mmoja tu anatakiwa kuwepo mungu ashushe neema yake
ingawa ni vigumu kupata majibu ndugu zanguni embu niulize mliokimbilia huko samahani sisemei...
Hii tabia ya kukubali hoja bungeni kwa kusema ndio kwa wanaokubali na hapana kwa wanaokataa na kisha spika kufanya maamuzi kwa kile alichosikia ni ujinga na kuwadanganya watanzania. Hivi kwa nini...
Vatican holds summit to tackle sex abuse by priestsThe Vatican is under pressure to do more to protect the victims of abuse by members of the clergy
Roman Catholic leaders have begun an...
zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wa mlongazila kwembe kupisha ujenzi wa chuo kikuu cha muhimbili limeanza jumatano pale MUHAS campus,wananchi wanachukua cheque zao huku wanalia.haya machozi ya...
Hili shirika la tanesco bukoba mbona mnatutesa maana toka jana saa 12jioni walipokata umeme haujarudi hadi leo na hawajatoa taarifa yoyote ile kwa waathirika wa tatizo hili. Au ndo kusema ni...
Huku mjini unaishi maisha mazuri kweli,hukosi hela ya mboga(na nyingine zinabaki za kuendea Club Billicanas,Dar West,Travenine,Dar Liue, CITY garnen,Leaders Club, na kwingineko) lakini hujui hata...