Loan defaulters mlioajiriwa mmekwisha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loan defaulters mlioajiriwa mmekwisha!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Feb 9, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wale loan defaulters wa HESLB ambao walikula kiapo kwamba hawatalipa kwa kuwa pesa walizopewa ni ruzuku sasa wajiandae kulipa!HESLB imeteua mawakala ambao wanapita katika kila taasisi kuwapa maelekezo wakuu wa Idara namna ya Kuandaa taarifa za wahitimu wa vyuo vikuu waliosoma kwa mikopo ili waanze kulipa mara moja!Rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa mkaidi kuhusu jambo hili,nilipomfahamisha alinywea!LIPENI PESA ZA WALIPA KODI BANA!MLIKUWA MNATANUA NA BOOK ALLOWANCE PALE MABIBO HOSTEL NA PALE MEEDA BAR!
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ina maana kuna ambao hawajaanza kulipia?! Mbona wengine karibia tunamaliza deni?!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  umeanza kulipa lini?.............
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eti eeh walipe anzeni kulipa za kagoda blali fuu
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wote waliosomeshwa na serikali walipe ikiwemo mawaziri,marais wastaafu n.k
   
 6. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee upo dunia ipi?Wanaotakiwa kulipa ni wale wote ambao wamemaliza masomo kuanzia mwaka 1994 mpaka sasa!
   
 7. N

  Ndole JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa nini kuanzia mwaka 1994??? huko nyuma watu walikuwa wanajisomesha??????????????????????
   
 8. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  mi ntalipa endapo 2 fln bn flan atakuwa kalipa
   
 9. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waulize watunga sheria iliyoanzisha bodi ya mikopo!
   
 10. K

  KIROJO Senior Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo nalo neno mimi silipi kwanza kampuni yangu iko vichocholoni huko
   
 11. A

  Akida kaka Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi na biashara zangu sijui wataipata wapi. wameishiwa wanatafuta fedha za uchaguzi arusha.
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Je wale waliosemeshwa na serikali halafu wakaona ajira ya kibongo inazingiwa wakatumia elimu yaliyoipata wakajiajiri watapatikana vipi kulipa deni?
  Je serikali iliwapatia ajira baada ya masomo ili waweze kuwatambua vizuri na kuwabana walipe deni. Hili zoezi bado ni gumu na huenda likaigharimu serikali.
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Huu ndo ubaguzi, na ndio maana SILIPI.
  Haiwezekani kwa wengine msaada, halafu kwetu ni mkopo!!
   
 14. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lazima ulipe!
   
 15. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ivi third quater wanaweka lini? Naisubiri kwa hamu na hiv UE Nimaliza!
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Hawa bodi nao myeyusho! Ukiulizia balance haijulikani! Msipoangalia utakuta unalipa mara 2 ya mkopo!
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimeshalipa deni langu, imebaki sijui 100,000/- namalizia next 5 months wananikata 20,000/- @ month; lipeni dawa ya deni kulipa wasomeshwe watoto wengine zaidi acheni uchoyo
   
 18. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Salary slip inaonyesha deni lako lililobaki!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kamanda

  Jamaa wamenitenda kweli, i went there in person nikaambiwa sina deni, juzi nimekuta MTM ndani ya wadaiwa sugu, nimewaomba tena niwalipaje?? na nitahakikishaje kwamba jina limeondolewa? wameniambia wataniarifu sasa nimekua mpole
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kwa wale ambao hawajaajiriwa inakuwaje?
   
Loading...