Mwenye kujua hili kwa undani jamani atujuze! Maana inasikika hivi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kujua hili kwa undani jamani atujuze! Maana inasikika hivi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Feb 10, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  UPDATES

  Habari nilizopata muda mfupi uliopita toka kwa mshikaji mmoja aliyekuwa anafanya kazi na wale Waarabu pale Loliondo,
  Zinasema ya kwamba washikaji kambini baada ya habari hii kuwafikia nao wameanza kuhamisha baadhi ya raslimali zao na hata baadhi ya magari yao ya kifahari yenye kutumia petroli tu wameanza kuzihifadhi kwa baadhi ya member wao walioko Arusha mjini.


  Habari nilizonyaka huku town ni kwmb wale Waarabu waliouziwa sehemu kubwa ya nchi yetu pale Wilaya ya Ngorongoro makao makuu Loliondo na kumiliki ekari sisizo na idadi na wakajiwekea uwanja ndani ya hifadhi yao.

  Sasa wapo ktk wakati mgumu baada ya serikali kuamua kuwaondoa baada ya kugundua mkataba ule ulifanyika enzi ya Mzee Ruksa kimakosa na sasa Jeshi la wanainchi (JWTZ) ndiyo wameweka kambi pale.

  Kwa anayejua habari hz kwa undani atujuze kwani Mi nimepata kwa washikaji waliokuwa wanafanya kazi pale Nabi getini Serengeti kwa wale wanaojua anga hizo.
  Na kwa kuwa Jf tuna kila aina ya raia naombeni mwenye kujua hili atujuze wajamen.

  Hii sehemu waliochukuaga hawa waarabu ni nyeti sana kwa kuwa na kila aina ya baraka kwani kuna kila aina ya mnyama na hata madini ya aina nyingi muhimu sana kwa Watanzania wanateseka wakiwa na raslimali nyingi MUNGU aliwajalia lakini wageni wanakuja kufaidi.


  Ni tetesi na mwenye full data ya hapo kwa nyakati hii atujuze wadau!

  Naipenda Nchi yangu TANZANIA!

  MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU!

  Nawasilisha!
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu na kuendelea kila lililo ovu litajulikana tu. Just a matter of time tu. Stay tuned
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Yani tumwombe MUNGU atuzidishie uwepo wake kwetu tuone mambo yatakavyokuwa ktk nchi yetu tunayoita TANZANIA ya AMANI!
   
Loading...