CDA Dodoma ni mzigo na full rushwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDA Dodoma ni mzigo na full rushwa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bushman, Aug 30, 2011.

 1. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ukifika dodoma kama unahitaji kujenga kuna hawa jamaaa wanaitwa mamlaka ya ustawishaji makao makuu dodoma,hapa kupata kiwanja ni issue,kupata kibali cha ujenzi ndio mmh balaaaaaaaaaaa,hati sasa ndio aibu cda wanatia kinyaaa kwa ujenzi wa dodoma miaka miwili sasa hakuna uuzwaji wa viwanja bora ivunjwe..........................
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  can you explain more? kwani habari yako iko very bias. yaani wakatae tu kuuza. hivi wao nimataahira? Let thread yenye tangible ideas either kwa kutupa nafasi ya kuchangia au kutujuza au ya kuuliza swali kama hujui.
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  CDA na urasimu
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo yote hayo aliyatengeneza mzee wa rushwa kimyakimya mr 6 kipindi alipokuwa boss wa wizara iliyokuwa inahusika na cda
   
Loading...