fidia mloganzila ni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

fidia mloganzila ni balaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyaunyau, Feb 10, 2012.

 1. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wa mlongazila kwembe kupisha ujenzi wa chuo kikuu cha muhimbili limeanza jumatano pale MUHAS campus,wananchi wanachukua cheque zao huku wanalia.haya machozi ya wananchi hawa sijui nani wakuyafuta ebu wahusika wafuatilie kuna tatizo pale.unamuhamisha mtu kwaenye makazi yake kwa fidia ya 120000,80000 aende wapi sasa na kiasi hicho cha seating allowance ya siku moja ya baadhi ya waheshimiwa serikalini.tumekwishaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
Loading...