Unamkumbuka huyu mtoto aliepelekwa appolo akarudi??mungu amlaze pema peponi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
POLENI WAFIWA WOTE DADA ETU ALIECHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUMPELEKA INDIA NAWE MUNGU AKUPE NGUVU NA NDUGU WOTE WALIOKUWA BEGA KWA BEGA WAKATI WA UHAI WAKE KWUEZA KUMSAIDIA AENDELEE KUISHI
KAZI YA MUNGU AINA MAKOSA BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

cecilia.jpg
 
toa habari kamili siyo nusu nusu yupi ?
aisee mtihani wako umefanyaje aisee kama kila kitu ulikuwa unamezeshwa hivi unataka nini zaidi embu nipe hints unajua hata ukidesa utakiwi kudesa full unasoma story nzima kwa juu juu alafu unamwaga yako saasa baada ya kuelewa cha kujibu embu nisaidie hints nikumezeshe mwaaaaaaaaaaaaaaa
 
kwaheri mtoto wetu mpendwa, tulikupenda sana lakini MUNGU amekupenda zaidi, punzika kwa amani
 
Mungu awape heri mliofanya jitihada mbali mbali kumsaidia ndugu yetu huyu!
 
Poleni watu wote mlioguswa na msiba huu.Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom