Sasa ndio nafunguka macho kuwa swala la richmond ni mchezo mchafu wa kuchafuliana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ndio nafunguka macho kuwa swala la richmond ni mchezo mchafu wa kuchafuliana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chegreyson, Feb 9, 2012.

 1. c

  chegreyson JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 742
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Imenichuwa takriban miaka minne kuweza kupata kiini cha RICHIMOND na kujiuzulu kwa Lowassa, katika wadhifa wa waziri mkuu.Hawa waheshimiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, uliomweka madarakani rais wa sasa WALIKUWA WANA MTANDAO na walipeana vyeo.Katika kupeana vyeo hivyo jina la Lowassa halikuwepo katika orodha ya waziri mkuu.
  Waliotegemewa kupewa wadhifa huo,walienguliwa katika dakika za lala salama na Lowassa kuibuka kidedea.Hapo ndipo uhasama ulipoanzia kwa mwana mtandao kumeguka na kuanza kutafutiana visasi vya kupata na kukosa uwazirui mkuu.
  Walikosa nafasi hiyo wakapendekezwa kwenda kugombea mihimili mingine ya dola.Kwa kuwa lengo lilikuwa uwaziri mkuu, watu hawa hawakuridhika na walichopata.Kwa hiyo,kundi la mtandao likamenguka kuwa mawili,yote yaliasimiana.
  Kwa bahati mbaya kundi la Lowassa likaja kutelezea katika kashifa ya kufua umeme ya RICHMOND.Ndipo kundi lililokosa UM likapata nguvu mpya na kasi mpya kwa kuunda TUME ya bunge ambayo ilipewa jukumu la kuhakikisha Lowassa hatoki.Ili kufanikisha hivyo alinyimwa hata haki yake ya msingi ya kusikilizwa.
  Tume ilifanya ilichofanya na riport ilipotoka Lowassa akawa ameachwa uchi,na kwa vile wakati ule watu hawakutaka kusikia lolote zaidi ya kuachia ngazi,basi ikabidi ajiuzulu.
  Katika kujiuzulu kwake LOWASA ALISEMA KWA KUFUMBA KWAMBA TATIZO LILIKUWA NI UWAZIRI MKUU WAKE.Tafusili ya usrmi ule ulikuwa hauleweki ya kuwa kinyongo na tambo zote za kumoundoa katika nafasi ile ni chuki,ya watu kukosa nafasi ile.
  Namlaumu Lowassa kwa kufanya uzembe, wa kutojisafisha mapema.
  Kama angejisafisha wakati ule mapema MAMBO mengi yaliyosemwa juu yake yasingekuwepo, na hata safari yake yua kutafuta urais ingekuwa nyepesi.
   
 2. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Huu ni upupu wako,sisi na watanzania woote kwa ujumla wake tunalielewa hilo,lakini bado haiondowi uchafu wake katika mchakato waa richmond na dowans pia.
  Kuwa kwake katika sakata la kugombea nafasi hiyo ya PM si sababu ya kumfanya atuingize mkenge wa ufisadi,
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nasema hivi hata mseme nini juu ya lowassa sitakaa nimwamini wala nimpe kura yangu milele amina
   
 4. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kama aliweza kutuweka hapo alipokua pm je akiwa rais atatuweka wapi?siwezi kumuamini hata akiogeshwa
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uharo mtupu
   
 6. nkawa

  nkawa Senior Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fungua na masikio pia kwani bado hujaupata ukweli
   
 7. m

  mafutamingi JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Kwani kuchafuana kunatokea wapi? Hakuna ubishi kwamba Richmond ilikuwa kashfa. Wala hakuna ubishi kwamba EL alihusika kwa wadhifa wake kama WM. Wala hatuna taarifa kwamba wale wanaosemekana kumwonea gele EL na uwaziri mkuu ndo waliomtuma kufanya kile alichokifanya. Kwamba JK alikuwa anafahamu kila hatua katika suala la Richmond haitoshi kumsafisha EL. Ni upuuzi kusema kwamba hakupewa muda wa kusikilizwa. Alipewa muda pale bungeni lakini baada ya kuweka record straight yeye akaamua kujiuzulu.
   
 8. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wanalowasa at work again!
   
 9. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Though its late kujua hilo but I'd like to congratulate you kwa kugundua hilo wewe mwenyewe bila kushurutishwa au kulazimishwa kuamini hivyo wako watz wengi waliokwisha funguka na kuujua ukweli; na wengine hawataki si tu kwa sababu hawajui ukweli huo bali kwa kuwa wana ubishi wa asili ila muda utafika watakubali tu! Hongera sana
   
 10. W

  Wakasha fukunu Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mbona umaarufu wa lowasa unakuwa kwa kasi na kimya kimya?
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Hapa hakuna ukweli unaoujua wewe zaidi ya hisia zako za kulipwa 10%
   
 12. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  duhhhhh
   
 13. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wale wanaomtete lowasa wanalao jambo
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Wewe unamtetea nani?
   
 15. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hongera kwa kutafakari kivyako,
  Endelea tu utagundua na mengine, uje utuwekee hapa.
   
 16. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yako mengi ya ukweli zaidi ya uliyoyaweka hapo. Kuni kundi la upinzani linampiga vita Lowassa kwa kuogopa nguvu yake kubwa kisiasa. Wanaogopa kuwa mtu pekee aliyebaki CCM mwenye uwezo wa kuwagalagaza vibaya wapinzani ni Lowasa. Lazima wamchafue kwa kila hali. Lakini ukweli uko wazi. Maji huwa hayapandi mlima wala huwezi kuyalazimisha.
   
 17. k

  kifuniboy Senior Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Topic hii toka mwanzo nilijua ni ya kumsafisha EL. It is unforgivable truth kwamba EL ni mtu wa ma kashfa.

  Kumbuka wakati wa u PM wake akienda kutembelea halmashauri lazima aulize bahasha ya posho yake wakati PM anaondoka na posho yake toka Dar. Wakurigenzi wengi wanalijua hilo. Embu kumbukeni kwa kipindi kifupi alichokuwa waziri wa Ardhi alivyojifaniakishia kile kiwanja pale mbezi beach (tangi bovu) ambacho awali kilikuwa cha TBL. Na kwa mgongo wa kanisa Kileo akachia lakini kwa ujanja wake akachukue eneo ambalo kwa sasa kajenga Ghorofa (Hoteli) kubwa na bado haija anza ku operate.

  Mwingine aliefaidika kutokana na mchakato huo ni Mh Kimbisa pale super market. Kimsingi eneo hilo lilitakiwa liwe la kanisa baada ya kutoka TBL. UBABABE ALIO NAO HAFAI KUWA RAIS AJAE. KUMBUKA ALIVYO AMURU YULE MHINDI ABOMOLEWE KULE MASAKI. JE UKI UPATA URAIS ATA ACHA MTU KAMA ANA INTRERST NA JAMBO HUSIKA? WE NEED AN AGGRESSIVE AND FAIR PRESIDENT. NOT WABABE AU WACHHOVU.
   
 18. k

  kifuniboy Senior Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimekumbuka nbc ndio wana hamia kwenye jengo la tangi bovu ambalo ni la lowasa
   
Loading...