Mumemuona Ally Abdallah? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mumemuona Ally Abdallah?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, Feb 10, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Mie nimemuona leo,
  ni dogo aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili kwa maradhi ya moyo, umri wake ni kama miaka 10 hivi.
  Amenivutia kwa rai yake kwa serikali, ameitaka isilete masihara katika sekta ya afya. Ameongeza kuwa kama ni stahiki yao walipwe, amesema dakitari si sawa na wabunge, mbunge anaweza kukaa hata mwezi bila kutoa hoja yeyote ila dakitari anadeliver kila uchao.

  My take: KAMA MTOTO MDOGO, TENA MGONJWA NA YU KITANDANI, ANAWEZA KUONA MAMBO KWA UPANA WAKE, SIJUI KINA FULANI WANANGOJA NINI?
   
Loading...