Duh

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Huku mjini unaishi maisha mazuri kweli,hukosi hela ya mboga(na nyingine zinabaki za kuendea Club Billicanas,Dar West,Travenine,Dar Liue, CITY garnen,Leaders Club, na kwingineko) lakini hujui hata mzazi wako uliye mbali nae kama amekula au hata hujui mara ya mwisho umewanunulia nini wazazi wako, au hata hukumbuki mara ya mwisho ulimpa lini pesa baba/mama yako !!

Hata aibu huna!? Unaona sifa? Hujui kama weme ni mjinga? Jirekebishe!!
 
mpe, mpe huyo, utadhani kajizaa mwenyewe, nyooooooo!!!! By the way who is this?
 
unatembelea gari zuurrrri la million 30 kiwanja cha million huna wala banda la rumu mbili huna .....hheheheheeh hehehe
 
Wanaboa sana watu wa hivyo aisee, mbaya zaidi inafikiaga hatuabhata ndugu zao wanawakataa kisa ndugu hoe hae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom