kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
nashukuru bunge na serikali angalau kwa dakika za mwisho wameonesha kujali maisha wa watanzania wanaoendelea kufa kwa kukosa matibabu.
hatimaye waziri mkuu kuamua kuwapiga chini katibu mkuu na mganga mkuu, hope na mengine wataendelea kubadilisha.
swali ninalojiuliza hivi mpaka watu wafe kwa madaktari kuwagomea ndugu zao kutowapa tiba ndiyo serikali ijuwe kutumia lugha nzuri ya majadiliano?.
sasa shida ipo pia kwa waalimu ambao kwao serikali inawadharau na kuwaona kama watoto ambao wakipewa pipi tu wale viongozi wao wakuu (CTW)wanapoa, tujiulize walisema madai ya waalimu ni mwezi wa 12 na wa kwanza mwaka huu,je? waalimu wamelipwa? au kwakuwa mgomo wao baridi unaendelea hautowi madhara yake leo? au kwa kuwa watoto wao hawausiki na madhara hayo?.
hivi hawa viongozi wana roho kweli?,sitaki kuwaambia waalimu waige madaktari la hasha maana wataumia watoto wetu ila seikali jaribuni kufanya jambo kwa waalimu pia,msisubiri wagome