Kuna waziri na mbunge leo wamekutwa bungeni wakiangalia picha za ngono

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Wadau hivi tetesi ni ya kweli na kama ni ya kweli ni waziri yupi na mbunge yupi?
 
mkuu si vibaya kusubiri kipindi kiishe, yani wewe kusikia title tu basi ushakurupuka???

una uhakika gani kwamba wapi?
 
Ndio najitahidi na mimi kutafuta info ila kama kuna mtu anainfo kuhusu inshu hii aimwage

Kwa hiyo unamsubiria kwa haaaaaaaaamu, Milliard Ayo akujuze ndo uje utujuze? Kwa vile ni Redio ya magamba, sidhani kama atawataja kwa majina yao!!
 
Kwa hiyo unamsubiria kwa haaaaaaaaamu, Milliard Ayo akujuze ndo uje utujuze? Kwa vile ni Redio ya magamba, sidhani kama atawataja kwa majina yao!!

Aisee mi niko mbali na hiyo radio mimi nimesikia sehemu nyingine ndio maana nikasema tetesi kama na wewe ukisikia tujuze huyo milado anasemaje
 
Confirmed ni Bernard Membe na Amosi Makala waliitwa kwa spika kujieleza!!
 
Confirmed ni Bernard Membe na Amosi Makala waliitwa kwa spika kujieleza!!
Niliposikia habari hii nilijua tuu lazima watakuwa wabunge wa CCM maana wao ndio ambao sio makini na hawaheshimu muda wa kutumikia waajiri wao yaani wananchi
 
kakutwa na nani? kwani kuna kuchunguliana kule??? Holy Craaapy!!!!
 
Back
Top Bottom