Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani kunatabia inanikera katika jamii yetu Utakuta ndugu yenu anaugua anakosa pesa ya kwenda hospitali , ndugu wanajikausha wakati uwezo wanao wakumsaidia. Akifa ndipo kila ndugu anjitia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimenunua decorder ya startimes.nimetumia siku mbili tu.ya tatu inaleta no signal.nimehangaika na maelekezo ya antenna wapi.kwanini mnauza vitu vibovu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kulingana na kituo cha ITV taarifa ya habari jioni hii,tukio hili limetokea huko mkoani tabora na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani humo,ambapo marehemu amefahamika kwa jina la Mipawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kanda ya Kusini imependelewa kwa kuwa na Wabunge ambao wengi wao ni Mawaziri ambapo kwa Mkoa wa Mtwara: Mtwara Vijijini Mbunge wake ni Mh: Hawa Ghasia ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Zanzibar ina: Serikali yake Raisi wake Bendera yake Wimbo wake wa taifa Bank kuu- bank ya watu wa zanzibar Katiba yake Jeshi lake la ulinzi Kilicho baki ni kuwa sarafu ya zanzibar. Wito...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mahembe Primary School head teacher in Kigoma Rural District Yahya Kassim teaches Standard IV pupils under a palm tree as captured by own correxpondent yesterday. (Photo: Correspondent Jockton...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wana Jf Naomba niuluze swali leo ktk BBC swahili tunaelezwa kuwa Tanzania ni nchi ya tatu Africa kuwa na madini mengi,lakini bado nchi zisizo na mali asili hiyo zinatuongoza ktk maswala ya uchumi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikipigiwa simu na namba 0901901901 ambayo ni automated call. Unapopokea simu hii unapatiwa maelezo ambayo huna haja wala shida nayo jambo ambalo kwangu mimi huwa naliona...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
May it please wakuu wangu; Kwa wale wapenzi wa mpira wanafahamu kuwa kesho ndio ule mtanange kati ya Yanga na Zamalak ambayo hii haiwezi kuwa hoja hata kidogo. Hoja yangu ni kwamba Mechi hii...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
wadau leo ndugu yetu Yahya mohamed,hayupo ili kutuunganisha wana JF na kipindi moja kwa moja,kipindi kinaendelea .jicho letu ndani ya habari. Mojawapo wa wageni waalikwa ni Dk kitimbo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imekuwa tabia ya tbc1 kushindwa kurusha habari zao vizuri taarifa za habari za tbc1 imekuwa ni kawaida kuchanganya picha au kuchelewa kurusha picha au kuwa na interruption yoyoye ile pindi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salva Wa Ikulu anasema nchi haiendeshwi na mtandao wakati Jk kafungua facebook na kuendesha nchi.Pia wakati Shehe yahaya anatabili kuwa kuwa kuna mtu akichukuwa fomu kupambana na Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello JF !! 1. Nimekua nikijiuliza hili swali mara kwa mara bila kujipatia jibu......kama ina vyojulikana kwamba iwapo una pesa yeyote iliyo chakaa mtu unalazimika kuipeleka bank ili upewe note...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huduma hii baada ya kupapatikiwa na watu wengi imeshaanza kuwa kero. Kama ukitaka kutuma pesa mkoa mwingine tofauti na unaoishi wakala atakuambia hairuhusiwi mpaka akurushie wewe na wewe ndio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwenye ofisi za RITA kuna hili tangazo. TANGAZO Ndugu wapendwa wateja wetu, mnakumbushwa kwamba hii ni...
4 Reactions
143 Replies
14K Views
Kesho ndio game ya Caf Champions League kati ya watani na Zamalek hapo uwanja mkubwa wa Taifa. Nimeamua kwenda kinyume na mazoea ya kawaida, kwamba mtani akicheza hata na pipa, sisii tushabikie...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…