Tanzania Nchi ya 3 Africa kuwa na madini mengi-Changamoto yetu

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana Jf Naomba niuluze swali
leo ktk BBC swahili tunaelezwa kuwa Tanzania ni nchi ya tatu Africa kuwa na madini mengi,lakini bado nchi zisizo na mali asili hiyo zinatuongoza ktk maswala ya uchumi.

tufanye nini ili madini haya yaweze kutufaidisha kama nchi za SA na Botswana?
je ni kweli madini yanaweza kututoa hapa tulipo na kutufikisha mahala nasi tukajivunia uwepo wa madini Tanzania?
 
Watu hawana natural resources ila wanatupa misaada, its a big shame!
 
Ningekuwa pale maeneo wangenikoma, kodi kwanza, then chimba kwa kiwango tulichokuwekea, hutaki nenda congo!
 
Wazungu bana, wanatufanya tujione matajiri kuliko wao kisa eti tuna madini while yanaisha within 30 years to come! Yaani sijui wajukuu zetu watakuta tumekuwa bara la amerika yaani 'a state of Afrika in the USA'! Lol!
 
Canadian mining company inafurahia policy tuliyonayo, i dont blame them, ni sisi wakosaji! Wao they are fortune seekers, how the hell are they supposed to give a damn about what will happen to us? 'damn' as Americans says!
 
Wana Jf Naomba niuluze swali
leo ktk BBC swahili tunaelezwa kuwa Tanzania ni nchi ya tatu Africa kuwa na madini mengi,lakini bado nchi zisizo na mali asili hiyo zinatuongoza ktk maswala ya uchumi.

tufanye nini ili madini haya yaweze kutufaidisha kama nchi za SA na Botswana?
je ni kweli madini yanaweza kututoa hapa tulipo na kutufikisha mahala nasi tukajivunia uwepo wa madini Tanzania?
Kaka hayo madini yanawanufaisha wageni na watu wachache tu hapa bongo,watu hao ni watawala,wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa.Wafamyabiashara kama akina Ami Mpungwe (alikuwa balozi wetu SA )Rostam na akina Mengi ndio wanaambulia mabaki ya rasili mali ya madini sisi wengine ndio hakuna kitu tunachokipata,wanasiasa wa chama tawala ,mawaziri akina Ngeleja and Co,Karamagi etc
 
Naambiwa kua Riz1 ana hisa za Kutosha tu katika kampuni ya Tanzanite One ya Merarani.
Kampuni hii toka nakua naiskia tu ikichimba kwa majina mbalimbali kama Afgem, Samax, n.k.
 
Back
Top Bottom