Kwa nini viongozi hawaoni hili badala yake kugombea posho? (miaka 50 ya uhuru)

Mboja

Senior Member
Sep 29, 2010
157
23
ChiniyaMti.jpg
Mahembe Primary School head teacher in Kigoma Rural District Yahya Kassim teaches Standard IV pupils under a palm tree as captured by own correxpondent yesterday. (Photo: Correspondent Jockton Ngelly) ( Habari IPP media)
 
Wako busy wanafuatilia mambo yao binafsi
Na kuficha siri za walikoficha pesa zao za EPA
Subiri labda change ya radar ikifika wanaweza kujengewa darasa hao watoto
Ila ni aibu Mkuu wa mkoa wa hapo anatembelea V8 la Milioni kama Mia mbili hivi
Mkurugenzi wa halmashauri anatembelea VX la Milini Mia hivi
Das, RPC, wanatembelea VX za milioni kama Mia hivi
Wakuu wa Idara wanatembelea Land Cruiser mkoonge za Miloni kama Themanini hivi na sio moja ni kama nane au kumi
Sijamsahau mbunge wao hapo na wale wa viti maalumu na Mwenyekiti wa chama wa mkoa na katibu wa chama wa mkoa, OCD, na msururu wa viongozi ambao wanatembelea magari ya serikali yenye kujazwa mafuta kwa wiki
Ila darasa moja la Milioni Ishirini wameshindwa kujenga mpaka watoto wanasomea chini ya mbuyu
Tanzania zaidi ya uijuavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom