Hatuwezi kupata rais kama JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuwezi kupata rais kama JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jane_000, Feb 16, 2012.

 1. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  We mtoto acha akili finyu
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hujaenda shule tu wewe!
   
 4. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shule gani ulitaka nende ?
   
 5. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  unakura pesa za kuibwa ndo umetumwa humu kutujaribu, unatafuta kuiba tena.

  kalale mbele
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Anza tena kusoma vidudu, maana bado hujakua
   
 7. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You don't need to go to school to be come educated or wise
   
 8. Mnusaji

  Mnusaji Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Jane bana..............watu wameshadiscuss eti upigwe ban lakini wapi............mwana unatisha
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [h=3]JK Asaidia Vijana[/h]  [​IMG]  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.


  Kambi hiyo ya mwezi mmoja iliyo katika kijiji cha Msoga, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, ni moja kati ya kambi kadhaa zinazoandaliwa mkoani humo, ambapo ikimalizika hii ya ujenzi mnamo february 29, itafuatia ya upandaji miti na mazingira itakayokuwa katika Chuo cha Elimu Kibaha. Baada ya Hapo itafuatiwa kambi ya ukulima wa mazao ya mbogamboga wilayani Rufiji.


  Rais Kikwete ameusifu mkoa wa Pwani kwa kubuni kambi hizo na kutaka mikoa mingine iige mfano huo ili kuwapa vijana ujuzi wa kuweza kujiajiri wenyewe.


  Ameahidi kuendelea kusaidi vikundi vya vijana vya aina hiyo ambavyo amevitaja kama hazina nzuri ya maendeleo na utatuzi wa vitendo wa tatizo la ajira.


  Rais Kikwete ametoa mashine za kufyatulia matofali ya kisasa 76 ambapo kila moja kati ya vikundi 38 vilivyopo vitapewa mashine mbili mpya na waliyofanyia kazi wataondoka nayo na kuwa ya tatu. Pia Amewapa vijana hao mifuko 3800 ya saruji (kila kundi mifuko 100), viatu vigumu (gum boots) pamoja na mananasi toka shambani kwake.
   
 10. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanini nipigwe ban na wewe unataka nipigwe ban ?
   
 11. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mods com' on!!!!!!!!! Hii ni haki kweli? Bora FaizaFoxy afunguliwe ila huyu asulubiwe..... Pls Mods!!!!!!!
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  ni kweli
  ubwabwaaa.jpg
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Full ****
   
 14. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa kesho nitakwenda
   
 15. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jane_000 kwani wewe ile ID yako nyingini unatumia jina gani!???
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  aaachwe bana wewe hujui juzi alikuwa na hamu ya muhogo watu tukampelekea/? sasa mods wakimfungia unafikia anaathirika yeye tu? we nawe bana sio fresh
   
 17. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kosa langu liko wapi kuleta mada?
   
 18. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  We maisha yako ni mzaha...kila kitu kwako ni mzaha mzaha tu kama huyo unayetaka apewe miaka 10! Hili jukwaa la siasa bana, sio MMU au lile la Wakubwa unakopelekaga mizaha na ****** ******!
   
 19. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Alianza na topic za kikahaba akaona hazina soko sasa kaamia kwenye siasa. Pole dada, umaarufu hauji haraka hivyo
   
 20. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You guys mimi na Id moja tu hiyo sijui
   
Loading...