Wala kobe watafukuzwa Zimbabwe

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wakuu wanaohusika na wanyama, wanasema Wachina hao wamekiri mashtaka ya kuwafanyia ukatili wanyama hao.
Wachunguzi wanasema walikuta magamba ya kobe 40, aina ya Bell's Hinge - aina adimu ya kobe.
Piya walipoingia ndani ya nyumba ya wanaume hao wa Kichina, walikuta kobe wengine 13 kwenye mapipa, wamewekwa bila ya kupewa maji au chakula.
Kobe hao hutumbukizwa ndani ya maji yanayochemka, wakiwa hai.
 
Nafikiri hao kobe watakuwa na supu nzuri sana. Kwanini wanawazuia hao wachina wasile??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom