Clouds FM acheni hizo bwana,kwanini mnazima umeme?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,238
67,524
Clouds FM wamefanya undava kwa kushirikiana na Tanesco wamezima umeme hili watu waende kwenye mechi yao,hayo mavitu mnayofanya clouds sio kabisa ebu tuwashieni umeme bwana!

Nawasilisha.
 
du...........................mods msifute hii thread itupieni kwenye jukwaa la excellent
 
Mbona mikocheni upo bwana??? labbda line yenu tu..sasa kwanini lawama zote ziende kwa clouds na si Tanesco kama taasisi?? sioni mantiki ya lawama zako kimsingi..
 
Hata kwetu Tabata upo, afterall watakataje umeme ili watu waende mpirani wakati tiketi tayari washauza.
 
Mikocheni si ndio kwao huko,halafu wengi huko hawana mizuka kivile.
 
Hata kwetu Tabata upo, afterall watakataje umeme ili watu waende mpirani wakati tiketi tayari washauza.

Kuna kiingilio cha getini halafu hii si mara ya kwanza kwa tanexco wakishiriana na waandaaji wa michezo mara nyingi kukiwa na mechi kali wanazima umeme sehemu kubwa ya uswahilini hili watu wa uko waende kwani ndio pakeee nyingi ipo hapo!
 
kweli watz hatuna shukrani Clouds tv wanaonyesha mpira live,clouds fm wanatangaza mpira live wakati television zote ikiwemo tbc1 wanaonyesha muziki,lakini bado unatupa lawama eti clouds wamekuwa Tanesco,hivi kwanini watanzania hatuaminiani kiasi hicho...Mods ondoa huu ******...
 
Malalamiko mengine naona Kama yanapitiliza Clouds na umeme wapi na wapi???????
 
kweli watz hatuna shukrani Clouds tv wanaonyesha mpira live,clouds fm wanatangaza mpira live wakati television zote ikiwemo tbc1 wanaonyesha muziki,lakini bado unatupa lawama eti clouds wamekuwa Tanesco,hivi kwanini watanzania hatuaminiani kiasi hicho...Mods ondoa huu ******...
Bora umekuja mwenyewe wa clouds.......

wewe ni nani?
 
kweli watz hatuna shukrani Clouds tv wanaonyesha mpira live,clouds fm wanatangaza mpira live wakati television zote ikiwemo tbc1 wanaonyesha muziki,lakini bado unatupa lawama eti clouds wamekuwa Tanesco,hivi kwanini watanzania hatuaminiani kiasi hicho...Mods ondoa huu ******...

Sredi imerushwa saa nne hii asubuhi,wewe ndio nani hapo clouds?
 
King Kong III;Form four umepata zero ya ngapi 34 au 35 mkuu? YAN MKUU FORM 4 NLIPATAGA 3.21 MIAKA HYO,CHUO NDO NLIPATAGA KAMA YA MKUU WA KAYA Dr yan gentleman. Vp nmeuliza umetumia nin kufikir kabla hujapost?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom