mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
kwenu TBC , jua kuwa nyinyi mlipewa ruzuku kutu-habarisha juu ya ulimwengu, sasa hii staili ya kuungana na wachina kuifanya TV iwe kibiashara zaidi siyo mbaya, lakini izingatieni hali halisi ya maisha. Mfano ukilipa internet ya Airtel unapewa mb 400 unaweza ku-link sehemu yoyote duniani ukapata habari , ukaisambaza, ukasoma vitu vingi sana, mawasiliano na watu wa dunia mbali mbali live. Mb 400 ni sh. 2500 kwa mwezi, vile vile unaweza kuangalia mpila laivu au tukio lolote.
Nawashauri punguzeni bei ili twende sawa, angalia umeme juu, maji bei juu, wakati serilkali ikiwaomba watu wa mitandao ya simu kupunguza zaidi nyie ndio mnakomaa na vingamuzi , muangalie sana mtakufa kifo kibaya kama TTCL ambao walikomaa na manyaya wakati technologia ya GSM ikiwapita kama wamesimama, wamebaki wanashangaa tu.
Angalizo nimewahi kuwashauri TTCL Mobile zile kadi za internet wazifanye za kawaida, zipatikane kokote na wapunguze bei za vifurushi wao wakogoma , sasa angali watu wana moderm nyingi internet sio dili tena ni popote zinapatikana.
Nyinyi wachina Star time nenda na time wahi biashara maana digital TV zinakuja ziko kama modem unapata internet, TV na video.