Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jf! Nimekua nikipita maeneo mbali mbali karibu kila mkoa nimekua nikiona kuta za nyumba au majengo mbalimbali vimewekewa alama ya X nyekundu, yawezekana kuna waliokumbwa humu jf...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri; 1. Matumizi nyumbani; chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. 2. Ada za watoto zinazolingana na za chuo...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Kama wiki tatu zilizopita nilikuta taarifa ya habari za biashara ya TBC ya saa 2 usiku inaishia. Kuna kinywaji kipya kinachotumia maziwa na vanilla ambacho kilikuwa kimezinduliwa, ila sikuweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Meli hiyo imekwama tangu jana usiku. Ilikua ikitokea Unguja kwenda Pemba. Ilikosea njia na kukwama kwenye eneo la Matumbini karibu na bandari ya Mkoani Pemba. Taarifa tulizopata abiria...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa taarifa nilizo nazo waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa ni mgonjwa! anasumbuliwa na "strok" iliyoambatana na macho kutokuona! stay tunned!!!!!!
0 Reactions
94 Replies
9K Views
Kuna habari kuwa kwasasa mafuta ya petrol na diesel yamekuwa bidhaa adimu sana Visiwani Zanzibar.Bei ya ulanguzi ya nishati hiyo imefikia shilingi elfu sita kwa lita badala ya bei iliyokuwepo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakati kipindi hiki kinaanza niliona kama kinalenga kusaidia jamii na watanzania kwa ujumla.Lakini kadri tunavyoenda naona kinapoteaza mwelekeo na mvuto maana kama ni cha kuwajenga baadhi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Breaking news toka Kili Fm ni kuwa ndege ya abiria imeanguka na kuua. Sikupata kuisikiliza habari hii kikamilifu kwani mtoto alikuwa anasumbua. Mwenye full habari atujulishe how it happened.
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kuna wadau wako eneo la tukio wanasema basi la kampuni ya Zakaria lilikuwa linatokea Mwanza kwenda MUsoma limechinja na kuua watu na majeruhi kibao baada ya kugongana na mchomoko (Noah).
0 Reactions
18 Replies
4K Views
jaman karibuni Songea mjini, japo ntakuwepo kwa miez miwili lakini nawakaribisha sana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ameyasema hayo wakati akimtangaza mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mas. Katika press conference hiyo,amewathibitishia waandishi na Watanzania kwa ujumla kuwa PhD yake si ya kughushi... Akaonesha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Damage, which may not be fixed for three weeks, caused 20% slowdown in countries including Kenya, Rwanda and Ethiopia David Smith in Johannesburg guardian.co.uk, Tuesday 28 February 2012 08.07...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
'' Kwa hali ilivyo sasa hasa kwa wa-tz walio wengi vijana....tukitoa portion inayohifadhi masuala ya elimu ya darasani na kumuacha aishi, wengi watakua vichaa kama sio watakufa mapema maana wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF, poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu changa na masikini. Tujikumbushe tu, najua wengi tunafahamu na mengi yameshasemwa sana hapa jamvini namna ambavyo chama tawala wanavyoiba kura na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanahalisi mnachemsha, kitu kidogo kama hiki mnashindwa kukithibitisha? mara watoto wa Jk mara ni mke wa Ridhiwani, kipi ni kipi? Ridhiwani Kikwete mdaiwa sugu Na Mwandishi wetu - Imechapwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
baada ya chuo kufunguliwa na wanafunzi kushindwa kuja chuo ikidhaniwa wamekosa nauli au wanaogopa kula mawe chuo hakina wabafunzi kabisa hii imepelekea leo VC kuitisha meeting wafanyejeeee my...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
msaada wakuu naomba mnielekeze kwa watu wanaouza plane tshirt kwa jumla,kama mtu yeyote anawafaham naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Nchi yetu ipo kama mji usio na baba vile,Inasikitisha sana kuona mji wa tanzania umekosa baba mwenye kujisimamia.Kila msaidizi wake anakuwa na ndimi zinazokinzana na mwingine,mara nyingi baba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Basi la MURO TRANS, linalofanya safari za MWANZA-DAR, alfajiri ya leo, likiwa linaelekea DSM, liliacha njia na kupinduka eneo la mkolani kwa DANCUN. Watu 25 wamejeruhiwa, 6 kati yao hali zao ni...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…