Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

leo majira ya saa mbili kasoro mpaka saa mbili na nusu nimethibitisha kili nilichokua nakifikiria kila wakati ninapokuta foleni kubwa barabara ya mandela. maeneo ya songas kuna u turn. Ilikua gari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dear br joe kwanza hongera sana sana kwa kuingia mikataba yenye akili na kupata opportunity zaidi za kufanya mampo mengi nje ya mambo ya media nimewiwa kusema hili kwanza nawapongeza kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
M nimpenzi mkubwa wa mahubiri jamani hivi karibuni kumekuwa na namba zinapitishwa wakati wahubiri wakihubiri nimekaa nikajiuliza hivi hizi namba za tigo pesa/mpesa ni za nini?? Nimejaribu kusoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ajali imetokea maeneo ya kwa mbonde baina ya coasta mbili za abiria jioni hii. Takribani watu zaidi 10 wamekufa palepale maiti na damu nyingh sana. Nimeshuhudia.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
JIONI HII NIMEONA MAAJABU NA JINSI WAJINGA WANAVYOWEZA KUWAONA WEREVU WAPUMBAVU WAKATI MECHI KATI YA MANCHESTAER CITY ILIKWISHA ZAIDI YA NUSU SAA NAFUNGULIA ATN WAO WANAFANYA UCHAMBUZI WAKATI WA...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Pengine asilimia kubwa ya mgomo naiona inakuja kwa kuwa masharti yao kwa huyu rais wenu ni shida tupu ukiangalia mizigo yenyewe anaichagua yeye mwenyewe umoja wama dk umetangaza mgomo ifikapo j5...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MADAKTARI huenda wakagoma tena baada ya kikao kati ya serikali na madaktari hao kuvunjika kutokana na kutokuelewana. Hali hiyo imejidhihirisha baada ya kutokea kutoelewana baina ya wawakilishi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
lengo halisi la lile tamasha.mara nyingi huwa nasikia na wasanii wa nchi mbalimbali huwa wanaalikwa.na kwanini bendi zetu maruufu za kibongo huwa hazialikwi zianaenda bendi ambazo hazina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilibahatika kumsikiliza Raila Odinga waziri mkuu wa Kenya wakati wa mazishi ya Njenga Karume Mfanyabiashara mashuri na mwanasiasa wa Kenya ambapo ameorodhesha maadui wa maendeleo kuwa ni 1...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wenye udodondozi embu tupatieni njia ya kupata bia za kichina nahisi zitakuwa nzuri na tamu sana ukilinganisha na bidhaa zaow anazotuletea si hivyo naamini hata bei nazo zitakuwa za kichina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Huwezi kuamini kama Soko hili ni hatua chache tu kutoka uzio wa Ikulu yetu, je Ikulu haionji adha ya kufukiwa na moshi kila leo na kwa nini matengenezo hayafanyiki kutokana na soko hilo kuungua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bonyeza hapo chini MICHUZI: YALE YALEEEEE Nundu na jamaa yake wa TAA hawana habari na hawajali kuwa wanachokizuia ni maiti
0 Reactions
9 Replies
2K Views
chaguzi zinazoendelea hivi sasa hapa Kagera katika vyama vya ushirika vya msingi vinavyounda KCU 1900 LTD. Zimegubikwa na mizengwe na rushwa kiasi cha kufanya chaguzi hizo kuwa mpakazo husio na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkuu wa kaya watupeleka wapi?Unawezaje kubagua raia kwa kuwatoza kodi na wengine kuwasamehe? Bei ya petrol haichagui unafanya wapi kazi. EBU ONA WARAKA HUU!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Technology.... Hii kauli inarudiwa mara kwa mara na luninga ya Emmanuel TV. Huwa inaelezea jinsi Africa ilivyo na utajiri wa asili,tofauti na Ulaya na Amerika. Lakini nchi za ki-Afrika huuza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
'Torture' video shows 'Gaddafi's black African mercenaries locked in a zoo cage and force-fed flags by Libyan rebels' Footage of captured mercenaries suspected of fighting for Gaddafi regime...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
2+3=10 7+2=63 6+5=66 8+4=96 then: 9+7=????
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mabaki ya Toyota Noah yakiwa yamepakizwa kwenye kwenye lori katika Kituo cha Polisi Nyanguge kwa ajili ya kupelekwa makao makuu ya Jeshi hilo Mkoa wa Mwanza. Taifa limepatwa na janga kubwa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Jumatatu niliweka pesa kwenye account yangu ya M-pesa Tsh. 150,000/= ila sikupata meseji kwamba nimeongezewa pesa na huyo wakala, nilipomwambia sijapata Msg akaniambia yeye amepata hivyo niangalie...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…