Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa na TBC kuwa madaktari wa bugando wamesitisha mgomo kwa kile walichokiita kuchoka kuburuzwa si za kweli, ni propaganda ya watu fulani kwa lengo la kujisafisha na kuupotosha umma...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi, hapa nilipo niko hospitalini, hali yangu kiafya sio nzuri ukijumuisha na huu mgomo wa madaktari hali yangu ndo inazidi kua tete kiujumla.ombi langu kwnu marafiki zangu ni, kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!! haaa! sawa hiyo!!!!!!!!! aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!! anamkwepa mponda...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikuwepo jijini Dar es Salaam kwa miezi miwili hivi. Nimerudi jana nimekuta kuna ukatwaji wa umeme kuanzia asubuhi mpaka saa 4 usiku, hasa maeneo ya hapa Magomeni, sijui huko kwingine. Kitu cha...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
bango langu hili apa!!!!! kwenye msiba wangu marufuku kikwete kuongoza mazishi!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri mkuu alisema wamejipanga vizuri sana katika mgomo huu wa madaktari, sasa inakuwaje tena wanaenda mahakamani kusitisisha mgomo, nilidhani wataleta madaktari kutoka nje ya nchi na pia kuajiri...
1 Reactions
2 Replies
921 Views
Madktari wapo kwenye mgomo usionakikomo. Mengi yanasemwa kuhusiana na mgomo huu. Wapo wanaodai madaktari wamekosea KUMWAMRISHA rais kwamba awatimue kazi waziri wa afya na naibu wake. Wapo wanaoona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
...madaktari walipoanza harakati za kudai maslai yao,kuboreshewa wazingira ya kazi ili waweze kuwahudumia wagonjwa ipasavyo,hawakusikilizwa wakaamua kufikia hatua ya kugoma,manesi,wafamasia na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananchi wa kijiji cha Uswahilin wameonyesha ni jinsi gani wanavyomkubali kiongozi wao wa kijiji chao kwa kumjali alipokuwa amelazwa hospitali moja mjini Arusha ijulikanayo kwa jina la Kwa Babu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania ndio nchii pekee ambapo mteja hathaminiwi. Shirika kubwa kama TANESCO wanaamka asubuhi wanaanzisha mgao kwa siku kadhaa bila kutoa taarifa na wako happy kabisa kama kila kitu kinaenda...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Huu mgomo ndio fulsa muhimu kuitumia kuung'oa utawala wa ccm madarakani tuli-miss uliopita sasa tusirudie tena makosa yale, nimefurahi wao kwenda mahakamani hapo ndio moto utawaka zaidi. Huu ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jambo linalonishangaza kuhusu hawa wazee waliopo studio za Star Tv namba 1 ni kufikiri hawa wasomi madaktari hawana madai ya msingi. Na jambo nililoliona hapa, wazee walio wengi wanaupinga huu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kuona matumizi mabaya ya barabara ya uhuru wakati wahusika wa usimamizi wa matumizi ya barabara wapo na wanaangalia jinsi waendesha mikokoteni wanavyo pita katikati ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Safari hii wamepatikana...wamezoea kuwagonga virungu wanafunzi UD...kuwamwagia maji CDM...kuwapiga mabomu wazee wa EAC Sasa safari hii wamepigwa bao...watawafuata madr majumbani??
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ktk wilaya ya misungwi kumetokea ajali ya moto ambayo cjawahi kuona iko hv: jamaa yy pa1 na wa2 wa4 wamekufa papohapo baada ya moto kutokea ndani MAAJABU : a)(moto umeunguza wa2 walikuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miezi miwili iliyopita nilikuwa jijini Dar... Nilinunua vocha tajwa nikaikwangua(scratch),bahati mbaya ikakwanguka vibaya... Nilipowapigia kitengo cha huduma kwa wateja na kueleza tatizo...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Manesi wafunguka, watatangaza mgomo nchi nzima kuunga mkono madaktari vikao vinaendelea
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Richard Bukos INASIKITISHAJE? Wakati wenzao wakijituma kufanya kazi ili kusukuma mbele gurudumu la maisha, akina mama wenye umri uliosogea, ambao ni mama zetu, wamenaswa laivu wakifanya...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
March 7, 2012 12:13 pm BAE yet to pay £29.5m false accounting fine By Caroline Binham, Legal Correspondent BAE Systems is yet to pay the £29.5m that it owes Tanzania as part of a...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…