Manesi, Wafamasia na kada nyingine za afya: mko wapi!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manesi, Wafamasia na kada nyingine za afya: mko wapi!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sabung'ori, Mar 9, 2012.

 1. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...madaktari walipoanza harakati za kudai maslai yao,kuboreshewa wazingira ya kazi ili waweze kuwahudumia wagonjwa ipasavyo,hawakusikilizwa wakaamua kufikia hatua ya kugoma,manesi,wafamasia na kada nyingine za afya mlikaa kimya na kando kama vile hayawahusu...

  Baada ya kukaa na Pinda na kuwekeana makubaliano ya kutekeleza madai ya madaktari,na walipoenda kujua utekelezaji wa makubaliano yao na serikali yamefikia wapi, tukawaona manesi, wafamasia nk mmejaa ukumbini kwa nia ya kuona kama na-yinyi maslai yenu pia yatapatiwa ufumbuzi, hilo halikutokea mkaishia kunawa...

  leo tena madaktari wako vitani kupigania haki zote za kada ya afya, manesi, wafamasia na wengine wote mnao teseka ktk kada ya afya mmekaa kimya na kado kama vile hamuusiki..."kweli mmekaa kimya tu mnasubiri kuja kula jasho la wenze {madaktari}!?"

  ...ebu oneni aibui ata kidogo,waungeni mkono wenzenu kwani hili wanalolipigania ni kwaajili yenu na sisi raia wanyonge tusiokuwa na uwezo wa kwenda "Apolo"..."SHIME" ongezeni nguvu tuikomboe hii nchi kutoka ktk minyororo ya huu utumwa wa mafisadi...UDAKTARI NA UNESI SI WITO TU NI-KAZI KAMA URAISI,UWAZIRI UBUNGE..."UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU"...
   
 2. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daktari akigoma atapiga dili mtaani, nesi je? naona mnaanza kutoa mwito baada ya watu kubaini kuwa mgomo ulikuwa na agenda ya siri! loh shame on you!
   
 3. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...kakakuona jaribu kutumia akili yako(kama unayo lakini) kuyaangalia mdai ya madaktari kwani naamin macho yako hayana-uwezo wa kuona mantiki...
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha manesi (TANA) Chama cha wafamasia () na vinginevyo hakuna viongozi, kama wapo ni legelege, waoga au wanafiki. Wakiona madaktari wanaongezewa posho wanasema nasisi tuligoma. COWARDS!
   
 5. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Huna hoja Babu
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu usitake kuleta mgawanyiko kwa sababu hujui mbinu za ''kivita'' zinavyotumiwa na kamati ya madaktari.yaani wewe unataka watumie nyuklia wakati ushindi unakuja kwa mayai viza!!
   
 7. m

  mine mine New Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yap ..easy easy
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna maeneo kadhaa hayajatangaza mgomo lakini kiukweli wako kwenye mgomo.mimi naiona kama strategy za kuivuruga kambi ya serikali.nani kakwambia wenye dhiki ni madaktari tu hata waganga wakuu wa mikoa na wilaya wana dhiki.hata wao wamechoka kuendeshwa na wanasiasa.
   
 9. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...mkuu kumbukuka kuwa unapopigana na adui yako kwa muda mrefu anaanza kukusoma hivyo ni raisi kubadili mbinu na hatimae kukumaliza...kama manesi,wafamasia na hao wengine walio ktk tasinia hii ya utabibu wangekuwa na msimamo mmoka kama wa madaktari,hadi kufikia leo mgomo ungekuwa umeishapatiwa ufumbuzi...lakini kuwa hawa wanaendelea kufanya kazi serikali inatumia mwanya huo kufanya propaganda zake kuwa eti "hakuna mgomo na matibabu yaendelea kama kawaida"...
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Boss unanivunja mbavu kwa kicheko, japo sio ya kuchekesha haya!

  By the way, vipi madocs wameishatii amri ya mahakama?
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mahakama ya waziri mkuu??
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Eeh. Hiyo hiyo.
   
Loading...