Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haiwezekani 1% ifanye maamuzi ya 99% bila kuzingatia maslahi ya 99% na 99% ikakaa kimya bila kuchukua hatua muafaka. Tatizo letu ni nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf nisaidieni mgao gani unakuwa Asubuhi then mnarudishiwa 1hr mnakatiwa masaa mengine 8!Naniline moja tu(Nodic)!Wasio ifahamu inanzia pale kimara bucha upande wakushoto kama unatoka mjini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hv muandaaji wa move ya Joseph Kony na uovu wake amelogwa na kony au naombeni majibu maana nasikia karukwa akili..
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni ubinafsi wa hali ya juu na hata kutoona aibu kwa mtu mwenye akili timamu na anaoujua ukweli kuja hapa kupoteza muda wake mbele ya watu wenye upeo wa hali ya juu kuisafisha CCM na kuuponda...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Imekua nijambo la kawaida kwa traffic wetu kuchukua rushwa au kukuandikia kulipa faini papo kwa papo,pia pesa hizo tunazolipa hazifiki hata kwenye vituo vyao acha serikarini. ushauri:nashauri...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Dr:Nurse tuwe tunafanya urine dipstic kwa huytt mgonjwa kila siku kuangalia urine protein. NURSE: Hizo ziliisha mwezi sasa,labda nikaazime wodi nyingine. DR: BP ya huyu mgonjwa ni 160/100...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa embu tuwekane sawa leo hii najua wengi watarudi kwa yaliomkuta kijana wetu lakini najiuliza tatizo ni naibu waziri kulala na changudoa mweevu ama 1.kutoa nje ya ndoa yake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
1. Who started World War I? 2. Who started World War II? 3. Who killed 20 millions aborigines in Australia?? 4. Who sent the nuclear bombs of Hiroshima and Nagasaki?? 5...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
(Wana JF, makala hii ilitoka katika gazeti la Jamhuri J4 ya Machi 13, tafadhali mawazo yenu ni muhimu sana, kwani elimu yetu imekuwa bandia): Tumeshuhudia matokeo mabya ya mitihani ya kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
£1.7m ‘con' by JobCentre staff Accused ... Kehinde, left, and Ekajeh at court yesterday March 2012 THE Sun is backing the Government's crackdown on benefits fraud with our...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Askari wa jwtz ofic ya mshauri wa mgambo ulanga wamewaua watu watano kwa kuwapiga risasi huko malinyi katika zoez la kuwaamisha wafugaji ktk eneo tengefu la ardhi oevu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna uhalifu na unyama wa kutisha unaofanywa na; viongozi, waalimu n.k dhidi ya wanafunzi wa kike katika shule Msingi na Sekondari hapa nchini. Nimepata kusikia visa kadhaa vya wasichana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikiliza Clouds fm jana na Leo,kuhusu mama wa miaka25,kumuingiza vidole mwanae wa kumzaa wa miaka7,pamoja na kumuingiza (penis za plastic)kwa kutumia oil kabisa jaman mbele na nyuma na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na wenzake wawili wanaoshitakiwa kwa kuagiza magari yaliyotumika kinyume na utaratibu, kutumia madaraka vibaya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bila shaka WanaJF wa hapa Arusha Mu wzm wa afya njema. Msishangae mki2kosa baadhi ya MEMBERS humu ndani ktk siku za usoni. Mi nitasema kama ninavyoona ya kwmb tangu jz j'5 ya tar. 7/09/2011 usiku...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Asalaam alaykum ndugu wanaJ.F. Kuna hili shirika la kuthibitisha ubora na usalama wa bidhaa mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya binadamu,hapa nchini,kwa lugha ya kiingereza ''TANZANIA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nayashudia hapa niko mafichoni,uchaguzi wa madiwani kirumba,ni vita vya cdm na magamba,ntaendelea kuwapa updates,dk slaa yupo pia
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nilianza safari ya kuelekea Morogoro kwa safari niliyopata ghafla na nilifika hapa Hedaru nikaona nitie nanga early morning nidamke . Sasa Best niliyemkuta pale kama mwenyeji akanipeleka kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwa jinsi mwenendo wa kesi unavyokwenda nina mashaka kama kigogo huyu atapona, kilichobaki ni kwamba huenda akavuna alichopanda.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…