Joseph Kony mchawi

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
311
96
Hv muandaaji wa move ya Joseph Kony na uovu wake amelogwa na kony au naombeni majibu maana nasikia karukwa akili..
 
Wabongo kwa ushirikina .... statememnt ya hospitali inasema the guy hen is "suffering from exhaustion, dehydration, and malnutrition". hivo vitu vinatosha kufanya mtu apagawe ...!

ni sawa na kusema malaria imepanda kichwani karogwa ..! btw uchawi hauvuki bahari kama ungeweza wamarekani wasingejisumbua kumsaka osama wangekuja bongo kumu assasinate ki aina


http://www.bbc.co.uk/news/world-us-canada-17409934
 
Acheni upuuzi, huyu karogwa na Kony. Mtu anarogwa akaonekana ana malaria sugu ama ukimwi sembuse malnutrition ama dehydration? Kony ni kiboko jiulizeni kwa nini Museveni amemshinda?
 
Huko obama land nackia hata mbu hakuna malaria yakupanda kchwani ayatoe wp? Nakubaliana na mkerewe
 
Duh mzee unatisha. Hapa nilipo najikunakuna, najiuliza hivi ni kwa sababu nimeona ile documentary ya Kony?
 
Back
Top Bottom