Unalijua hili serikalini!!!!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
unalijua hili
gari hizi si kwamba ziko garage la hasha ziko kwenye parking ya serikali tena wizarani
lakini kama ujui
gari hizi ziko kwenye hesabu za mafuta kila siku pamoja na kuonyesha hali yake ya afya aifai hata kufika ICU

294632_193477954055384_100001795432398_421667_1107050820_n.jpg
 
Mpwa kila siku hayo magari yanawekwa barabarani kinadharia kama hilo la kushoto inajulikana liko tanga sasa hivi kurudi dar na mafuta yameshalipiwa...samahani kama ntawaguza baba zenu jamani ni kodi zetu zinafanya tuhangaike na wazazi wennu hivi
 
Sasa nimeamini nchi hii usipokwiba mali ya umma wewe si Mtanzania na utakufa vibaya kama Nyerere.
 
Haya mambo yote yanatokea na hawa TAKOKURU na TISS wanafanya kazi gani basi tujue jamani!!!!!
 
Back
Top Bottom