2020, 2025, 2030, 2035,2040,2045.2050

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Nadhani wengi tutakuwa tunakubaliana kwamba Kampeni za Kumpata Rais wa Taifa letu katika uchaguzi wa mwana 2015 zimepamba moto tayari.

Napendekeza tuanze kuangalia na Chaguzi za Mbele hasa kuanzia 2020.

Japo msingi wa pendekezo langu ni kutaka kuwapunguzia Munkari wataka Urais wetu kwa kuwaonyesha Fursa nyingine ama sivyo naona ni kama vile wataka Urais woote wamewekeza nguvu zao zote mwaka 2015. Athari ya concentration za namna hii mara nyingi zio nzuri na zinaweza zikaleta machafuko nchini mwetu.

Lakini nadhani ni Busara kufanya maandalizi mapema zaidi.Kama tuko tayari basi Mchakato uanze.
 
Mkuu unaongelea akina 6 na EL?...By 2020 SI WATAKUWA WANATEMBELEA mikongojo?

Ina maana ni hawa tu mkuu. Kama ni hivyo tutakuwa ni Taifa la Ajabu sana. Lakini nauhakika hawa hawaoni mbali ya 2015.
Sijaiona hiyo busara sababu huyo sita tu ilipofika 2010 na yeye kwishne sasa amebaki kuwa MC tu
 
Kwakuwa watanzania tumejizoeza kuwachagua viongozi wetu kwa mpango wa dharura, ni vizuri tukajadili tunaweza kuwa na viongozi walioandaliwa kwa mpango wa muda mrefu!
Kiongozi anazaliwa, analelewa, anaandaliwa!
 
kunaweza kukaibuka figa nyingine kabisa kuendeleza nchi hii.
Hawa watakuwa wameshakuwa wakuu kuu.
 
Nadhani wengi tutakuwa tunakubaliana kwamba Kampeni za Kumpata Rais wa Taifa letu katika uchaguzi wa mwana 2015 zimepamba moto tayari.

Napendekeza tuanze kuangalia na Chaguzi za Mbele hasa kuanzia 2020.

Japo msingi wa pendekezo langu ni kutaka kuwapunguzia Munkari wataka Urais wetu kwa kuwaonyesha Fursa nyingine ama sivyo naona ni kama vile wataka Urais woote wamewekeza nguvu zao zote mwaka 2015. Athari ya concentration za namna hii mara nyingi zio nzuri na zinaweza zikaleta machafuko nchini mwetu.

Lakini nadhani ni Busara kufanya maandalizi mapema zaidi.Kama tuko tayari basi Mchakato uanze.

Mkuu umeiweka kijanja! Kwamba wengine waangalie 2020 na kwenda mbele. Wapewe nafasi wale ambao mwaka 2020 watakuwa wanatembelea mikongojo!

Mkuu unaongelea akina 6 na EL?...By 2020 SI WATAKUWA WANATEMBELEA mikongojo?

Unanikumbusha maneno ya Mwalimu mwaka 1995. "wewe subiri bado kijana una nafasi huyu mwenzio akikosa hivi sasa hana nafasi tena". Inasemekana Mwalimu Nyerere kakimwambia JK amuachie BWM, Dodoma (1995)

Moral of the story: Je ina maana kwamba vijana wawaachie wazee ambao wanautaka Urais 2015 ili wao waangalie 2020, 2025, ....?
 
Kwakuwa watanzania tumejizoeza kuwachagua viongozi wetu kwa mpango wa dharura, ni vizuri tukajadili tunaweza kuwa na viongozi walioandaliwa kwa mpango wa muda mrefu!
Kiongozi anazaliwa, analelewa, anaandaliwa!

Mkuu hapa kidogo huwa napata ukakasi kidogo kukubaliana na hii maneno maana huu ndio mwanzo wa usltani hapa Africa. Kumbuka tofauti zetu kimaisha zimetugawa sana, kuna wanaosoma chini ya mwembe wengine darasa huwezi kutofautisha mlango na dirisha na baada ya hapo safari yao kielimu huwa inaishia secondary ya kata yenye mwalimu mmoja wanafunzi 230 na vitabu 6 bila maabara! Nadhani tujikite tu kuangalia uwezo na uaminifu wa mtu binafsi maana kuna watu wanatokea kusiko na address kabisa lakini wanafanya vizuri sana kiutendaji na pia niwaaminifu na kuna wale watoto wa vigogo ambao hawafai hata kidogo ila wanabebwa na CV za baba na mama zao. Huu ni mtizamo wangu tu
 
kunaweza kukaibuka figa nyingine kabisa kuendeleza nchi hii.
Hawa watakuwa wameshakuwa wakuu kuu.

TUWAANGAL mafanikio yao ya nyuma na sio maneno yao waliyoyasema siku za nyuma. Elimu zao na crime records zao, hata kama walitembea na wanafunzi wa shule nayo tuyaweke wazi. Hii nchi ina dini mbili kuu hivyo si busara kumchagua mzazibari kuwa raisi wa jamhuri hata kama ni mrefu namna gani. Tujifunze kwa Ali hassan mwinyi!
 
Kwakuwa watanzania tumejizoeza kuwachagua viongozi wetu kwa mpango wa dharura, ni vizuri tukajadili tunaweza kuwa na viongozi walioandaliwa kwa mpango wa muda mrefu!
Kiongozi anazaliwa, analelewa, anaandaliwa!
Tupe mfano
 
Lala ukue!!!
TUWAANGAL mafanikio yao ya nyuma na sio maneno yao waliyoyasema siku za nyuma. Elimu zao na crime records zao, hata kama walitembea na wanafunzi wa shule nayo tuyaweke wazi. Hii nchi ina dini mbili kuu hivyo si busara kumchagua mzazibari kuwa raisi wa jamhuri hata kama ni mrefu namna gani. Tujifunze kwa Ali hassan mwinyi!
 
Mkuu umeiweka kijanja! Kwamba wengine waangalie 2020 na kwenda mbele. Wapewe nafasi wale ambao mwaka 2020 watakuwa wanatembelea mikongojo!

Unanikumbusha maneno ya Mwalimu mwaka 1995. "wewe subiri bado kijana una nafasi huyu mwenzio akikosa hivi sasa hana nafasi tena". Inasemekana Mwalimu Nyerere kakimwambia JK amuachie BWM, Dodoma (1995)

Moral of the story: Je ina maana kwamba vijana wawaachie wazee ambao wanautaka Urais 2015 ili wao waangalie 2020, 2025, ....?

Usichanganye na mjadala wa under 40 kuruhusiwa kugombea nafasi ya Urais mkuu, Kumbuka hili likipita under forty watakuwa na nafasi za kugombea katika nyakati zote kuanzia 2015, 2020, 2025 nakuendelea.

Na pili, napinga kabisa swala la kuachiana, kama mtu hafai sasa hatuna sababu za kumuona atatufaa huko mbeleni, we are more than 50 Million people now, haiwezekani tukang'ang'ania kumuandaa mtu mmoja kuwa rais kwa kipindi chochote kile, mfumo wetu wa Uongozi sio wa Kifalme, Wapo watanzania wengi sana wanauwezo wa kuongoza.

Lengo langu ni kuwakumbusha watanzania ambao wanafikiri kwamba wanaweza wakatuongoza wajue kwamba 2015 sio mwisho wa dunia, wanaweza wakajipanga kugombea kwenye chaguzi nyingine, hii itawawezesha kujipanga na kujipanga kwenyewe ni kwa kuwatumikia watanzania kwa uamanifu wa hali ya juu na sio maneno maneno ya kisiasa.

Kwa upande wa wachaguaji, itatupa fursa ya kuwa tumewahakiki wagombea wetu kwa kipindi cha kutosha.
 
EL 60yrsa, 6 65yrs, SILAHA 64yrs, watakuwa vikongwe

Sitegemei kujadiri watu katika hili, ukifanya hivyo ujue umejinyanganya uwezo wa kufikiria kuhusu kiongozi wa 2050, sababu it is obvious wewe binafsi hautakuwapo,
 
Back
Top Bottom