Ngereja +bei mppya ya umeme= mgao upya

Lakuchumpa

Member
Mar 28, 2012
73
13
Hivi kweli inaingia katika akili ya wtz
Tanesco wanapodai kua mgao wa umeme utaanza upya?
Tumeme ulipanda bei Tanesco wakidai ghalama za uendeshaji zimepanda
Inakuaje sasa wanashindwa kuyalipa makampuni kama IPTL n.k?
Tunakoelekea na serikali yetu sio tukilegea wanaifanya nchi kama yao pekee
Kwanin serikalio isiruhusu makampuni mengine yakacompete na TANESCO katka kuzalisha na kusambaza umeme kwa wateja?
Secta ya mawasiliano imeboleswa kwasababu kuna ushindani katika utoaji huduma hiyo.
 
Miaka 50 ya uhuru: Tumethubutu, Tumechemka, Tujipange upya, Tanzania bila mafisadi wa CCM inawezekana
 
Nakubaliana na wewe solution ya tatizo la umeme ni kuweka kampuni binasfi ziingie kwenye ushindani,wapi TTCL?
 
Watanzania mmezidi kulalamika bana! Ni wakati wa kuchukua hatua sasa tuache kulalama tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom