Dr. Makongoro Mahanga Sukari imepanda

Dr. Makongoro Mahanga Sukari imepanda

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,902
Reaction score
4,444
kufuatia mwenendo wa kesi kumwendea vibaya Dr. Milton Makongoro Mahanga, hali yake ya afya imeyumba na kumpa wakati mgumu kuanza kujitetea mahakamani, hadi hivi sasa kesi inaelekea kuwa njema kwa mpendazoe, muda si mrefu uchaguzi mdogo unanukia , source. kwa ndugu ya makongoro na masaburi, mchana wa leo jumanne machi, 27/ 2012
 
Aiseeeee!
 
Mtu mzima kaumbuka mpaka kisugar imepanda.
Alishinda kiujanja ujanja, anaishi kiujanja ujanja, amesoma kiujanja ujanja.
Si bora ajivue gamba tu kama Kihiyo
 
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?

Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.

Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.

Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.
 
Mbona wakati anaiba masanduku ya kura na kukimbia nayo KISUKARI haikupanda? Makongoro ni muongo anajaribu ku-buy time tu. Lakini waswahili tunasema JOGOO AWIKE ASIWIKE KUTAKUCHA TU.
 
ali2absha wakaz wa segere tukaonekana ha2na upeo..dzain namuombea mabaya kote kote
 
Ningekuwa mimi ningeiba tena masanduku ya kura mahakamani.

.
Hata mimi nashindwa kuelewa wanashindwa je kuiba faili la hiyo kesi mahakamani kwa kuwa hawa jamaa lifesource yao ni wizi.
.
 
Nitashangaa sana nikisikia Makongoro ameshindwa maana maana wakuu wote wa mahakama wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM, na kuna kila dalili kwamba uchaguzi ukirudiwa Segerea Makongoro atapata kula za familia yake tu
 
haitasaidia. siku hizi kuna hansard za kurekodi ushahidi mahakamani.

.
Hata mimi nashindwa kuelewa wanashindwa je kuiba faili la hiyo kesi mahakamani kwa kuwa hawa jamaa lifesource yao ni wizi.
.
 
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?

Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.

Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.

Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.

Huyu hata akifa leo au kesho kwetu ni furaha isiyo kifani, hawa wajanja wajanja hawafai katika jamii ingekuwa China alisha pigwa risasi kwa manufaa ya umma
 
Unajua kuna watu wanadhani USANII ndo SIASA hawajui kuwa SIASA is a serious discipline.
Sasa kama ata kushinda ulishinda kimazabe usitarajie kuongoza kwa amani ya roho na mwili bse unajua ulichofanya.
 
Back
Top Bottom