Nadhani Kazi ya Wito ni ya Tanesco,na si Afya,Maji wala Ualimu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadhani Kazi ya Wito ni ya Tanesco,na si Afya,Maji wala Ualimu....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by trachomatis, Mar 27, 2012.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Jamani napenda ku-declare interest kuwa mimi ni mtumishi wa umma katika Idara ya Afya..

  Lakini,tuseme ukweli... Katika idara ambazo inasemwa ni kazi za wito,yetu na ya Waalimu,tunanyanyasika sana.. Kidogo,tutaambiwa hatuna ubinadamu,na mengine mengi..

  Sasa angalieni wenzetu... Wana incentives nyingi..kiukweli sijui zote ila ni nyingi sana!
  Mara,mabati baada ya miaka mitano,mara sementi,mara sijui ni marupurupu gani.. Yaani hadi basi..

  Sitegemei kupondwa kwa ajili ya idara yangu,ila tafadhalini waungwana,tuongee yote na tuje kukubaliana umuhimu wa kazi za idara zetu ume-base wapi na tunapimaje umuhimu huo..

  Ahasanteni.
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hata linapokuja swala la kujaribu "kuikumbusha Serikali" bado tunaonekana watovu wa adabu na tusio na ubinadamu mbele ya jamii.. Na wengine wanahisi tuko "arrogant"..
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mada haielewekii ama kwa kuwa haina jina la kiongozi wa kisiasa?
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Thread ili iuzike mjomba,kipindi hiki imtaje Lowassa,Zitto,January,na mambo ya uchaguzi kama hivi...

  Mada yako nzuri,nitachangia baadaye wakiishachangia watu wawili-watatu..
   
Loading...