Ndugu zangu tutafanikiwa kweli kiuchumi kwa staili hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zangu tutafanikiwa kweli kiuchumi kwa staili hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commited, Mar 29, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Wachumi waipiga kombora Serikali mbele ya Kikwete
  NI WA KUTOKA CHINA NA VIETNAM, WASHANGAA MFUMUKO WA BEI WASEMA TATIZO NI VIONGOZI KUWA NA MANENO MENGI KULIKO VITENDO
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Wednesday, 28 March 2012 20:54[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  SOURCE. GAZETI LA MWANANCHI LA LEO.


  SOMA KWA MAKINI HAYA MANENO (NILIYO BOLD) YA JK NA UTAFAKARI UPEO WA HUYU MTU ALIYOZUNGUMZA JANA.


  JK anena

  Awali, akifungua mkutano huo wa siku mbili, Rais Kikwete alisema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji kwenye sekta ya kilimo ili kuwanufaisha wananchi na wawekezaji akisema kinachotakiwa ni wananchi kubadili mtizamo wa kudhani kwamba wawekezaji wapo kwa ajili ya kupora mali za wananchi.

  “Tukiendelea kudhani kwamba wawekezaji wapo kwa ajili ya kupora mali wakakasirika na kuondoka zao, tutaendelea kuwa masikini,” alisema.

  Rais Kikwete alisema Serikali iliamua kuacha kufanya biashara na kuiachia sekta binafsi na yenyewe kubaki na kazi ya kujenga na kuboresha huduma za jamii.

  “Serikali ilikuwa inauza viberiti na nyama tukabinafsisha viwanda na sasa tumebaki kuandaa mazingira mazuri ya uwekezaji,” alisema.

  Mkurugenzi Mkuu wa Repoa, Profesa Samwel Wangwe alisema mkutano huo utawasaidia watafiti wa masuala ya uchumi kubadilishana mawazo kwa lengo la kufanikisha ajenda muhimu ya kuondoa umasikini nchini.
   
Loading...