Wakili mwale azidi kulia na mawakili wa serikali adai wanamwambia kwanini amenona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakili mwale azidi kulia na mawakili wa serikali adai wanamwambia kwanini amenona

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, Mar 28, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakili nguli jijini Arusha,Mediani mwale amezidi kuwalalamikia wanasheria wa serikali wakiwemo maofisa wa polisi wanaomfuatafuata katika gereza la kisongo akidai kuwa wanataka kumuu,kwani amewasikia wakieleza kuwa kwanini yeye amenawili bila kuteswa .

  Akizungumza mbele ya hakimu mkazi wa Arusha,Charles Magesa alisema kuwa maisha yake kwa sasa yapo hatarini kwani baada ya mawakili hao kukosa ushahidi wa kumtia hatiani wamekuwa wakifika gerezani hapo na kumbembeleza mkuu wa gereza hilo ili waondoke nae kwa muda wa siku tatu wakikaanae kusikojulikana.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaa hao maaskari wanataka kumla kiboga? Kwann wanamfuatilia?
   
 3. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mwale aache woga sasa
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ana ushahidi na ANACHOKINENA?!, kwa hiyo mkuu wa gereza atamshahidia?
   
Loading...