J2 ijayo katika ukumbi wa triple A mjini arusha kutakuwa na mchuano mkali wa manguli wa taarabu na mipasho nchini Mzee Yusuf na L.Lusinde.Mgeni rasmi atakuwa Naoa Sumari
Ni miaka hamsini tangu kuwa huru lakini bado maisha na uchumi wa watanzania ni duni, na kila kukicha mambo ni adadhali ya jana. Sasa mazishi na matanga ya CCM imekaribia, nchi majirani chumi zao...
Henry Banda. PHOTO | FILE |
By MICHAEL CHAWE in LusakaPosted Monday, April 2 2012 at 19:02
Zambia issues fresh alert for fugitive Banda son
Zambia police late Monday arrested and...
Kuna kundi la vibaka takriban 20 limezuka Arusha lenye mapanga, marungu na nondo kinapita katika Jiji la Arusha.
Jana alfajiri lilivamia nyumba moja Kwa Mrombo na kuwapora wapangaji vitu...
Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa...
Askari wa ziada like mgambo kwenye suala zima la kupambana na foleni ikiwezekana na usalama bado naona ni changamoto ipo pale pale. Wapi namna ya kupambana na miundo mbinu kwanza kwa kasi?
Katika kuhakikisha chama chake kinaibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mbunge mmoja maarufu sana wa Chama anayetokea kanda ya kasakazini fulani aliamua yeye mwenyewe...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ilitoa majina ya wadaiwa sugu.Wengine tuliandikwa mara mbilimbili.Tukatishwa kuwa baada ya siku 21,Bodi inatusimamisha Mahakamani au kutufilisi kupitia Wafilisi wa...
Heshima kwenu wakuu! Nipo Bukoba. Kero yangu ni juu ya mamlaka ya mkuu wa mkoa wa Kagera ndugu Fabian Masawe kulazimisha wananchi kupaka rangi kuta na paa za nyumba zao kwa amri...
No more kissing na condom lazima. Serikali yatahadharisha wananchi ktk taarifa ya habari leo ya Mlimani TV kwamba gonjwa baya lenye dalili zote kama ukimwi umelipuka na unaleta ugonjwa Hepatatis C...
Tuwarambeeee........Lusinde,Lowasa.Mkapa,na Mabwege wote wa Rangi ya kuruhusu Magari barabarani Mmejiramba wenyewe VIVA Chadema na Wa Igunga Afe basi wandugu?
Kuna jamaa alianzisha uzi akisema atajiua CDM ikishinda! What happened, sijaskia msiba wake!. Kuna ahadi zingine hutakiwi kamwe kuweka tena hadharani. We are waiting ujiue coz you promised!!!
Kambi ya wale wanaojiita wapambanaji dhidi ya ufisadi ndani ya chama tawala cha CCM imepata pigo kubwa kufuatia matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la arumeru mashariki na chaguzi za udiwani...
Wanajamii
Ikulu kama taasisi ya juu katika uongozi wa taifa hupaswa kutoa taarifa na ufafanuzi wa masuala mengi ya kitaifa na yanayogusa wananchi wake na hasa panapokuwa na mikanganyiko ama...