Ugonjwa unaofanana na ukimwi waibuka nchini soma hapa ujue waambukuzwaje na dalili zake

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
No more kissing na condom lazima. Serikali yatahadharisha wananchi ktk taarifa ya habari leo ya Mlimani TV kwamba gonjwa baya lenye dalili zote kama ukimwi umelipuka na unaleta ugonjwa Hepatatis C na B unaoleta liver cancer. Kitengo maalum kimefungiliwa Muhimbili kushughulikia gonjwa hili.
dalili zake ziko kama za ukimwi Habari ndiyo hiyo
 
Back
Top Bottom