Msaada wa haraka ukonga banana

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Jamani ukonga banana kuna hewa nzito watu wanakohoa na kutoa machozi na wengine wameanza kutapika. Mlioko huko tujulisheni kuna nini?
 
dUH pOLENI SANA. NATAFUTA MTU KWENYE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS INAYOHUSIKA NA MAZINGIRA ATAKUJA HIVI PUNDE .PIA HAKIKISHA HOJA YAKO NI YA KISIASA KWELI
 
kiti moto labda kimezidi, si ujajua kuna baa zaidi ya 20 na zote kiti moto kwa mbele! poleni.
 
Du..Watanzania wngi tutakuja kufa kwa kufanya mizaha na vitu kama hivi.
Mi nimechukulia taarifa hii very seriously!
 
Well, ni taarifa za kusikitisha sana, nashindwa kuwapata walio Ukonga. Ieleweke pale pana kambi ya jeshi (airforce) huenda mambo si sawa.
 
Back
Top Bottom