Waliosema watajiua CDM ikishinda Arumeru!!

sam2000

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
523
326
Kuna jamaa alianzisha uzi akisema atajiua CDM ikishinda! What happened, sijaskia msiba wake!. Kuna ahadi zingine hutakiwi kamwe kuweka tena hadharani. We are waiting ujiue coz you promised!!!
 
Gongo ya mav* hiyo ilikuwa inamsumbua huyo,gongo mbaya!!!??mbaya zaidi ukinywa uchochoroni kwenye nyumba ya tope weeee balaaaaaaaa!!!!
 
Ulimbukeni mwingine si mzuri na kuweka nadhiri kuwa hataamka ni vibaya kwani kuna kelele nyingi na honi kibao za magari na magari yanaendelea kununuliwa sasa. Kipindi hiki si kizuri hata simu yaweza kumuasha kama aliweka alarm, Tv zina alarm je wewe unaweka nadhiri hujui kuwa utakufa siku si zako?
 
Hata mimi nilikuwa nasubiri kusikia hilo. Alikuwa ni Rev. .... sasa nashangaa kama hadi sasa hajarudi kutuambia kwamba ndo anajinyonga. Au tayari ashajinyonga. Kuna yule mwingine alisema atatembea uchi toka wapi hadi posta. Kama sikosei alikuwa Ritz. hatuwasikii tena wakituambia wameishia wapi katika kutekeleza ahadi zao.
 
Kutekeleza ahadi? Are kidding? Tangu lini Magamba wakatekeleza ahadi? Obviously hawatajinyonga but am sure hawatadi****ha angalau kwa mwezi mmoja!
 
some of us think b4 we talk and many others do vice versa.
 
Nadhani wanasubiri Mwigulu awe r.i.p kwanza ndipo nawao wafuate maana hata hiyo ahadi yeye ndiyo alianza kutoa.
 
Kuna jamaa alianzisha uzi akisema atajiua CDM ikishinda! What happened, sijaskia msiba wake!. Kuna ahadi zingine hutakiwi kamwe kuweka tena hadharani. We are waiting ujiue coz you promised!!!

Kamwe usitoe nadhri/ahadi kama huna uwezo/mpango wa kuitimiza! Japo wevi wanasiasa washasahau maandiko; HATA MUNGU HAPENDI!
 
keshakufa

hajafa bana nimekutana nae maeneo ya cafe la aziz wanamovement yao naskia wanataka anzisha web la MAGAY bongo,ndo mchongo alionao cdhan kama ana mpango wa kufa maana alikuwa amebambiwa so keshanogewa uyo na michezo ya kulipiwa
 
Gongo ya mav* hiyo ilikuwa inamsumbua huyo,gongo mbaya!!!??mbaya zaidi ukinywa uchochoroni kwenye nyumba ya tope weeee balaaaaaaaa!!!!

Na hasa kama unakunywa na wale Wazee wa Kishiiri walioropoka upuuzi wao kipindi kile!!!
 
Back
Top Bottom