Gari inawaka moto

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
929
Wana jf nipo safarini naelekea Iringa,nimepita maeneo ya mdaula mdaula nimeona kuna gari ya mizigo inawaka moto.Mwenye taarifa zaidi aweke hapa.
 
Spika!

Wewe ni Kamanda! Ungepiga break ukatoa msaada angalau! Hata ya fire axtingisha
 
wewe ndo umepita,
umeshuhudia,
umetuarifu.....................unataka mwenye taarifa zaidi yako atatoka wapi? tuwekee picha
 
We kuku kweli, kuona uone wewe the uje kutuuliza sisi ambao hatujaona
 
Hiyo njia ina matukio hayo mengi sana. am sure kabla hujafika utaona mabaki ya magari yalioungua mengi sana
 
spika hii lori nimeiona sasa hv natokea Iringa. Kuna trafic kama wanne wanaangalia na hamna juhudi zozote za kuzima. Moto unaunguza mzigo ulioko nyuma na unakaribia cabin huku trafic wakiendelea na stori.
 
Hivi majina ya spika yana matatizo gani. Wewe ndo umeona halafu unataka taarifa toka kwetu. Au ulikuwa unaota?
 
Spika, niko huku arumeru mashariki na kampeni zimepamba moto zaidi ya huo unaowaka hapo mdaulamdaula kwa hiyo sina habari zaidi.
 
wana jf nipo safarini naelekea iringa,nimepita maeneo ya mdaula mdaula nimeona kuna gari ya mizigo inawaka moto.mwenye taarifa zaidi aweke hapa.

tukio ulione wewe, unataka taarifa upewe...ndo nini? Nakushauri next time, toa taarifa tu, na kama kuna mtu wa kuongeza ulichosema, atafanya hivyo
 
itemeee mate
Mwenyezi Mungu akusaidie uwe na angalau chembe ya busara.
Tumearifiwa na mtu aliyekuwa anapita nae kaomba kama kuna mwenye habari zaidi (let say aliyepo karibu au hapo Mdaula),sasa kejeli ya nini?
Binafsi nami pia nimeliona hilo container ikiwa imeshateketea na magari ya mafutayaliyokuwa yakielekea Moro ikabidi yatulie kwanza.
Kama huna cha kuandika kaa kimya huna haja ya kutao kejeli.
Sisi wengine tunaiheshimu sana ya JF
 
Spika unakwenda Iringa tena jamani?Kwani wewe hizi kamati za bunge zilizoanza hazikuhusu wewe kweli?au umezira baada ya posho kukataliwa kuongezwa?
 
[QUOTE =Wisdom;3571181]We kuku kweli, kuona uone wewe the uje kutuuliza sisi ambao hatujaona[/QUOTE]

Sidhani kama niliuliza,but what I said is kama kuna mwenye taarifa zaidi juu ya ajari ile,nikiwa na maana kwamba kama kuna anayejua chanzo cha ajari na athali za vifo na mali.
 
Spika unakwenda Iringa tena jamani?Kwani wewe hizi kamati za bunge zilizoanza hazikuhusu wewe kweli?au umezira baada ya posho kukataliwa kuongezwa?
Yes kiongozi nilikua Iringa but I just come back last night!U know ni matatizo ya kifamily ndiyo yaliyonipeleka kule.
 
Spika, haupo serious, yaani tukio uone wewe then sisi tukujuze?

Yes!nilimaanisha kama kuna anayejua chanzo cha ajari na pengine kama kulikua na madhala mengine zaidi ya hayo,kama vile vifo na wizi.
 
Mwenyezi Mungu akusaidie uwe na angalau chembe ya busara.
Tumearifiwa na mtu aliyekuwa anapita nae kaomba kama kuna mwenye habari zaidi (let say aliyepo karibu au hapo Mdaula),sasa kejeli ya nini?
Binafsi nami pia nimeliona hilo container ikiwa imeshateketea na magari ya mafutayaliyokuwa yakielekea Moro ikabidi yatulie kwanza.
Kama huna cha kuandika kaa kimya huna haja ya kutao kejeli.
Sisi wengine tunaiheshimu sana ya JF
Bora mkuu ulivyomjibu,bcoz lot of people here siyo wastaarabu kabisa,mie nimerudi jana na nimechungulia maeneo hayo nimeona ni jivu tupu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom