Bodi ya mikopo inatuogopa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo inatuogopa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 3, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ilitoa majina ya wadaiwa sugu.Wengine tuliandikwa mara mbilimbili.Tukatishwa kuwa baada ya siku 21,Bodi inatusimamisha Mahakamani au kutufilisi kupitia Wafilisi wa Bodi.Leo ni miezi mitatu tangu mikwara hiyo iwekwe mtandaoni.Mbona hadi leo kimya? Kwasababu watuhumiwa wangewajumuisha Ridhwani J.M.Kikwete? Bodi inatuogopa?
   
 2. s

  silent lion JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Acha ujinga wewe. Usione kimya ukajua mambo yameisha. Watu wanajipanga.
   
Loading...