Vipi Mwighulu huko Aru... Chama Chetu Hoi Hai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Mwighulu huko Aru... Chama Chetu Hoi Hai?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Avanti, Mar 26, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huonekanani tena humu mkuu, hadi sasa tumekuwa na mashaka, hebu tupe maendeleo, wengine matumbo yanasokota ati!!!!!!!!!!!!
   
 2. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mida hii ya saa nane kuelekea saa tisa nimemuona akigawa kanga na skafu kwa wakina mama wa kijiji cha Nambala kata ya Kikwe. nikamuhoji mama mmoja , bila woga akasema kula kwa sisiem bali kura kwa chadema.
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Asb amegawa biskuti shule ya msingi Ushili ili wanafunzi wasizomee C CM
   
 4. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Mugulu sasa amejigeuza Father X-mass! Na hao akina mama inabidi waume zao wawe karibu maana si mnamjua huyo jamaa, Mategatonya!
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hana muda wa kuingia JF siku hizi, maana usiku anakuwa bize na yale madume manne anayolala nayo chumbani
   
 6. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmmh! Kaz ipo! Kwa mwigu
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwigulu, ngoma nzito, sijui kama atakubali kuwa Kampeni Meneja tena, maana Segerea kunanukia Uchaguzi mdogo
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Anasikilizia maumivu ya kampeni!!!!!!
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi Sheria zetu zinaruhusu watu wanne wa JINSIA MOJA (WAKUBWA: SIO MKUBWA KWA MTOTO au WATOTO KWA WATOTO) kulala katika chumba kimoja cha GUEST HOUSE/HOTEL?
   
 10. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkuu Sio wanne, hata wawili tu hawaruhusiwi.
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wenyewe CCM wanamwamini sana huyu jamaa.
   
 12. Stanley.

  Stanley. JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huyo bwana kila kukicha mnamjadili katika jamvi! hamuoni kama ndio mnamongezea umaarufu? Inakuwa sasa kama ndio tishio sana huko meru!
   
 13. A

  Acidic rain Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndiye atakayechukua cheo cha Nape siku chache zijazo kwa mujibu wa tarifa kutoka kwa magamba.! Nape fungua macho
   
 14. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mbona wengine wanajadiliwa tu na hamna tatizo, kwani kupata umaarufu kupiptia humu nalo ni kosa?
   
 15. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naona imekuwa hoi, pole sana mkuu!
   
Loading...