Mbunge awa Wakala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge awa Wakala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Apr 3, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,731
  Trophy Points: 280
  Katika kuhakikisha chama chake kinaibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mbunge mmoja maarufu sana wa Chama anayetokea kanda ya kasakazini fulani aliamua yeye mwenyewe kuwa wakala na kushinda katika kituo cha kupigia kura hadi masanduku yalipoondoka...
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Huyu sio lema?
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  usiumeume maneno, ni GODBLESS LEMA, je kwani ni kosa kisheria?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Hizi ni thread za kitoto na za kizembe kabisa.........kuna usiri gani kumtaja huyo Mbunge? watu wengine hovyo kabisa!!
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  huyu ni mbunge wa watu na lazima ajitume kwa kufanya hivyo ili kuhakikisha
  kwamba chama na watu wa TZ kama wewe ambae unafikiri kwamba Mh. hastahili
  kusimamia na kuwa wakala mbadilike na mjue kwamba hawa ni viongozi na sio watawala
  ambao wangetaka kukao ofisini wakati chama kikihujumiwa.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ccm wanahangaika!!!!!
   
Loading...