Re:sababu ya kuadhibu ccm 2015 hizi hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re:sababu ya kuadhibu ccm 2015 hizi hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lamchina, Apr 3, 2012.

 1. Lamchina

  Lamchina JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni miaka hamsini tangu kuwa huru lakini bado maisha na uchumi wa watanzania ni duni, na kila kukicha mambo ni adadhali ya jana. Sasa mazishi na matanga ya CCM imekaribia, nchi majirani chumi zao zianakuwa alakini hapa kwetu kinachofanyika ni kuhamisha rasilimali na kupelekwa nje, eti wawekezaji. Kuanzia secta ya madini ya kila aina, mbuga za wanyama,milima,misitu ana mengine mengi bado watanzania hawajanufaika navyo.Wamekuja na misemo mengi: Aliingia kwa kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya, Masikio yalipoichoka akaja na “Maisha bora kwa kila Mtanzania”. Aliposhtukiwa, akapaka rangi kauli mbiu ya awali na kuja na “Kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi”.
  .Chini ya utawala wake kila kitu kinawezekana na hapo hapo hakitendeki. Tanzania bila maralia inawezekana, Tanzania bila ukimwi inawezekana, Tanzania bila rushwa inawezekana, madarasa yenye kompyuta yanawezekana, taxi mpaka Mtwara inawezekana, na uchumi unaopaa bila kubadili hali za watu unawezekana.MWISHO WA CCM KUTAWALA UMEFIKA NA SASA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!
   
 2. S

  Scan Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kila kitu kwenye utawala wake kinawezekana umenifurahisha sana hapo then haviwezekani kudadadeki jamani...Lusindeeeeee
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kweli tanzania bila ccm inawezekana kudadadeki
   
 4. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Matusi ya Lusindeeeee yamewaadhibu hawa Vikaragosi
   
Loading...