Wabongo kutotumia akili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo kutotumia akili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Sep 28, 2009.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa watanzania hayapo!!!

  Ujumbe:Kwako wewe mtanzania....tumia akili sasa....zama za kufanya mambo kwa mazoea imepitwa na wakati....
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahaha shem hebu toa mifano basi sisi watanzania tusio na akili tuanze kuchangia...!
   
 3. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anza kwa kuonyesha mfano kwa vitendo!
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Je wewe si mmoja wa hao watanzania?? au ulishahama utaifa?
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ungekuwa unatumia akili wewe sidhani kama ungekuwa na hizo bans!
  SHAME ON YOU!
  WTF
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwa mara ya kwanza umeandika jambo lenye akili sana na wasio na akili hawatakuelewa.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mzee umepiga pullovers lakini au ndo ushaacha kabisa?
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  hope its nat wat im tinkin...
   
 9. Freddy81

  Freddy81 Member

  #9
  Sep 28, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo umeongea jambo la maana. Ni kweli we ni lazima tutumie akili katika kila jambo tunalofanya ili tupate mafanikio ya kutosha.

  Lakini si kweli kwamba watanzania wote hatuna akili,..Ila la muhimu tuache kufanya mambo kwa kutumia mazoea....
   
 10. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yoyo kwa jinsi wabongo walivyo wameshindwa hata kukusoma ili waelewe unachomaanisha wewe,
  Yoyo yupo sahihi kabisa.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kama tuna akili kwa nini tuko maskini?
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah naona vekesheni ya bongo imekufumbua macho sana mpwa Bongo ni zaidi ya uijuavyo mpwa.
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  kweli mzee. hiyo ndiyo namna WENYE AKILI huwa wanaongea! mweh! tumieni akili mnapotaka kufundisha watu, la sivyo hawatakuelewa kabisa. tatizo la waalimu wetu akiingia darasanai tu anaanza kuponda 'nyie watoto hamna akili kabisa, tena sifuri vichwa vyenu vimejaa makamasi'.....teh teh NGUMBARUUUU yaya ghete mayo lekaga mihayo yeneyo chu!
   
 14. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanini tunaviongozi wabovu?
   
 15. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nafikiri suala la muhimu hapa ni Wabongo tutumieje akili aetu kwa ufanisi
  inawezekana sie wabongo tunaona tunatumia bongo zetu vizuri lakini kumbe nyie wabongo mnaotumia akili zenu kwa ufanisi (Yo Yo na wenzake) mnaona kuwa akili za za wabongo wengi (Sipo labda peke yangu) hatuzitumii akili zetu ipasavyo.
  Tuambiane ili tubadilike tuache kulalamika na kurushiana maneno yasiyokuwa na msaada. Wabongo hatutumii akili, sawa, so what???
   
 16. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miafrka ndivyo ilivyo migumu kuelewa ila ni miepesi sana kusahau
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  1.Mara zote kutoa lawama ( WHAT) ni kazi rahisi sana kuliko kutoa suluhisho (HOW).
  2.Wabongo tuko wepesi sana kutoa general statements kama hivi bila kuonyesha ni kwa vipi kosa au tatizo husika linaweza kutatuliwa.
  3. Onyesha angalau eneo moja tu na ulitolee ufumbuzi.Hapo utakuwa umejitofautisha na wabongo wengine unaowasema hawatumii akili.
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Nani anawachagua?
  Wanatokana na nani?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  kwa sababu tunawachagua na kuwapa madaraka
   
 20. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  ona huyu nae hao viongozi wamejiweka wenyewe?
   
Loading...