Tuntemeke and co mabomu yenu yameisha!

motonsebu

Member
Dec 5, 2010
47
2
Wana bodi! Napenda kujua nia ya mabomu ya akina tunteme and co wakati wa kampeni tu! Je yameleta impact yoyote kwenye ushindi wa js. Tujadili
 
Kwani huyo tuntemeke na wenzake wako wapi? Chezea nguvu ya umma wameona madhara yake!
 
walikuwa wanataka cdm wagawanyike, nw wanajua wamerudi ndani, i hope kila kitu kitakuwa over soon, mbaya zaidi tutawajua ni kina nani exactly
 
hayajaisha, sasa watakuja na mambo mazito zaidi, hawa ni kama wamewehuka fulani hivi, kuna dhambi inawatafuna kama ile ya kunyonya damu za watu.
 
Walikuwa na lao jambo na walitumwa tunashukuru mungu alikuwa upande wetu, nawaomba tunajua hakuna chama kisicho na kasoro kwani vinaongozwa na binadamu wasiowakamilivu lakini ni vema wakawakilisha tuhuma zao kwa uongozi iliwaufanyie kazi kuliko kuuleta hapa na kutukana viongozi tuliowapa dhamana ya kutuongoza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom