Mchuano:Kati ya manguli wa mipasho tanzania Mzee Yusuf na L.Lusinde

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
238
93
J2 ijayo katika ukumbi wa triple A mjini arusha kutakuwa na mchuano mkali wa manguli wa taarabu na mipasho nchini Mzee Yusuf na L.Lusinde.Mgeni rasmi atakuwa Naoa Sumari
 
Sharti la kushiriki ni cheti ama leaving cha form iv kwa mshiriki,lusinde anacho?
 
Back
Top Bottom